-
Iran: Iwapo kadhia yetu ya nyuklia itarejeshwa Umoja wa Mataifa, tutafikiria kujitoa NPT
Jan 20, 2020 20:48Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, iwapo nchi za Ulaya zitairejesha kadhia yake ya nyuklia kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, basi Tehran itafikiria kujitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia NPT.
-
Kiongozi Muadhamu: Kusimama imara kwa taifa la Iran, kumeikasirisha Marekani na kuivutia dunia
Jan 20, 2020 10:14Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, huku akifafanua misingi ya fikra za Kiislamu na malengo yake kukiwemo kusimama imara kwa Jamhuri ya Kiislamu, kuwa ni jambo lililoivutia dunia, amesema kuwa sababu ya kuwafanya Wamarekani wachukizwe na taifa la Iran ni mvuto unaotokana na fikra ya kusimama imara mfumo wa kujitegemea mkabala wa utawala wa kidhalimu.
-
Ujerumani yakosoa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 20, 2020 03:47Baada ya kushika madaraka ya kuongoza Marekani, alianza kutekeleza siasa za kuiondoa nchi hiyo katika mikataba na makubakliano muhimu ya kimataifa, suala ambalo limekabilwia na malalamiko na upinzani ndani na nje ya nchi hiyo.
-
Zarif: Marekani ndiyo sababu kuu ya hali hatari ya sasa magharibi mwa Asia
Jan 19, 2020 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, hali ya sasa ya eneo la magharibi mwa Asia ni ya hatari sana na kwamba Marekani ndiyo sababu kuu ya hali hiyo.
-
Iran kutuma angani karibuni hivi satelaiti za Zafar
Jan 19, 2020 23:38Wazir wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano ICT wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa majaribio ya awali yamefanyiwa kwa mafanikio Satelaiti mbili za Zafar (Ushindi) na kwamba zitatumwa katika anga za mbali hivi karibuni.
-
Bunge la Iran: Hatua ya nchi za Ulaya kuhusu JCPOA ni alama ya udhalili na kudunishwa na Marekani
Jan 19, 2020 09:13Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran wamesema kuwa hatua ya nchi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa ya kuanzisha mchakato wa kutatua hitilafu ndani ya JCPOA unaofahamika kwa jina la 'Trigger Mechanism' kwa kisingizio kuwa Iran haitekelezi majukumu yake kwenye mapatano hayo ni ishara ya kudhalilishwa nchi hiyo mbele ya Marekani.
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 04:34Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Tehran yampa Rais wa Ufaransa somo la jiografia kuhusu "Ghuba ya Uajemi"
Jan 19, 2020 04:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa somo la jiografia na kumkosoa kwa kupotosha historia.
-
Mchango mkubwa wa Iran katika kuwasaidia wakimbizi na kupambana na mgogoro wa ukimbizi duniani
Jan 19, 2020 03:10Karibu miaka 40 sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mwenyeji wa kundi kubwa la wakimbizi hasa raia wa Afghanistan na hivi sasa Tehran imesema, iko tayari kuwafaidisha wengine kwa uzoefu wake katika suala hilo.
-
Rais Rouhani: Marekani, chanzo cha shari zote Asia Magharibi
Jan 18, 2020 23:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ndiyo chanzo cha vitendo vyote vya shari, migogoro na matatizo katika eneo hili la Asia Magharibi.