-
Misimamo ya kugongana ya Washington kuhusu sababu za kumuua kigaidi Luteni Soleimani
Jan 14, 2020 00:58Tarehe 3 Januari 2020, Marekani ilifanya jinai na ugaidi mkubwa wa kumuua kidhulma Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu tena akiwa mgeni rasmi wa serikali ya Iraq.
-
Shamkhani: Kuondoka Marekani katika eneo kunapasa kuwa kipaumbele
Jan 13, 2020 09:06Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa kuondoka Marekani katika eneo kunapasa kuwa kipaumbele na kueleza kuwa hakuna siku eneo la Asia Magharibi litakuwa na amani ya kudumu madhali wangalipo wanajeshi magaidi wa Marekani.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe wa pongezi Sultan mpya wa Oman
Jan 13, 2020 09:01Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akimpongeza Haitham bin Tariq Al Said kuteuliwa kuwa Sultan mpya wa Oman na akasema anataraji kuwa uhusiano wa Tehran na Muscat utaimarika pakubwa katika nyanja zote.
-
Mazungumzo ya Kiongozi Muadhamu na Amir wa Qatar, stratijia muhimu katika kipindi nyeti
Jan 13, 2020 06:33Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana usiku (Jumapili) alionana na Amir wa Qatar, Sheik Tamim bin Hamad Aal Thani na ujumbe alioandamana nao na kusisitiza kuwa, mazingira yaliyopo hivi sasa katika eneo hili si mazuri hata kidogo. Amesema, sababu ya kujitokeza hali hii ni ufisadi na uharibifu wa Marekani na marafiki zake, na kwamba njia pekee ya kukabiliana na hali hiyo ni kuongezwa ushirikiano wa kieneo kadiri inavyowezekana.
-
Rouhani amuhakikishia Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan kwamba Tehran imeazimia kudumisha uhusiano wa kirafiki
Jan 13, 2020 04:31Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kwamba Tehran imeazimia kudumisha mahusiano ya kirafiki na udugu na mataifa yote ya eneo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Sababu ya hali isiyoridhisha ya eneo ni nia haribifu ya Marekani na marafiki zake
Jan 13, 2020 00:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei amesema: Mazingira ya eneo yalivyo hivi sasa yanahitaji zaidi kuliko ya kabla yake kuimarishwa mawasiliano kati ya nchi za eneo na kutokubali kuathiriwa na chokochoko za maajinabi.
-
Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti
Jan 12, 2020 21:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa kisiasa baina ya Iran na Qatar ni mzuri lakini nchi mbili hizo zina fursa ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Doha na Tehran na katika nyuga mbalimbali zikiwemo za uchumi, biashara, utalii na sayansi.
-
Amir wa Qatar safarini Iran
Jan 12, 2020 08:35Amir wa Qatar leo amewasili Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo an viongozi wa ngazi za juu wa Iran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufanyika uchunguzi kuhusu uwezekano wa kufanyika uzembe na makosa katika kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine
Jan 12, 2020 04:36Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Ukraine Jumatano asubuhi tarehe nane Januari ilianguka karibu na uwanja wa ndege wa Imam Khomeini (M.A) hapa Tehran na abiria wake wote wakapoteza maisha.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mfalme mpya wa Oman
Jan 12, 2020 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea nchini Oman kuiwakilisha serikali ya Iran katika shughuli ya kumuenzi na kumkumbuka aliyekuwa mfalme wa nchi hiyo aliyefariki dunia Sultan Qaboos bin Said Al Said, amekutana na kufanya mazungumzo na mfalme mpya, Sultan Haitham bin Tariq Al Said.