-
Rouhani amuhakikishia Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan kwamba Tehran imeazimia kudumisha uhusiano wa kirafiki
Jan 13, 2020 04:31Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kwamba Tehran imeazimia kudumisha mahusiano ya kirafiki na udugu na mataifa yote ya eneo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Sababu ya hali isiyoridhisha ya eneo ni nia haribifu ya Marekani na marafiki zake
Jan 13, 2020 00:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei amesema: Mazingira ya eneo yalivyo hivi sasa yanahitaji zaidi kuliko ya kabla yake kuimarishwa mawasiliano kati ya nchi za eneo na kutokubali kuathiriwa na chokochoko za maajinabi.
-
Iran na Qatar kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga tofauti
Jan 12, 2020 21:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa kisiasa baina ya Iran na Qatar ni mzuri lakini nchi mbili hizo zina fursa ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa Doha na Tehran na katika nyuga mbalimbali zikiwemo za uchumi, biashara, utalii na sayansi.
-
Amir wa Qatar safarini Iran
Jan 12, 2020 08:35Amir wa Qatar leo amewasili Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo an viongozi wa ngazi za juu wa Iran.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kufanyika uchunguzi kuhusu uwezekano wa kufanyika uzembe na makosa katika kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine
Jan 12, 2020 04:36Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Ukraine Jumatano asubuhi tarehe nane Januari ilianguka karibu na uwanja wa ndege wa Imam Khomeini (M.A) hapa Tehran na abiria wake wote wakapoteza maisha.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na mfalme mpya wa Oman
Jan 12, 2020 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea nchini Oman kuiwakilisha serikali ya Iran katika shughuli ya kumuenzi na kumkumbuka aliyekuwa mfalme wa nchi hiyo aliyefariki dunia Sultan Qaboos bin Said Al Said, amekutana na kufanya mazungumzo na mfalme mpya, Sultan Haitham bin Tariq Al Said.
-
Umoja wa Ulaya wakaribisha hatua ya Iran ya kuwa wazi kuhusu tukio la kuanguka ndege ya Ukraine
Jan 11, 2020 23:46Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya jana usiku aliangaza kuwa amepokea barua kutoka kwa Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu kuanguka ndege ya Ukraine na kukaribisha kuwa wazi Tehran kuhusiana na suala hilo.
-
Kiongozi Muadhamu atoa amri ya kufanyika uchunguzi wa mkasa wa kuanguka ndege
Jan 11, 2020 10:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza masikitiko yake kuhusiana na mkasa wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyotunguliwa kimakosa karibu na mji wa Tehran ambapo sambamba na kusema kuwa, yuko pamoja na familia zilizopoteza ndugu zao katika mkasa huo wa kuhuzunisha ametoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusiana na uwezekano wa kufanyika uzembe na wahusika kuchukuliwa hatua.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wamuomboleza na kumuenzi shahidi Qassim Soleimani
Jan 11, 2020 10:14Shakhsia wa kisiasa, kiutamaduni na Waislamu nchini Afrika Kusini wamemkumbuka, kumuenzi na kumuomboleza Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH).
-
Venezuela yaionya Marekani na kuitaka iache kuingilia masuala yake ya ndani
Jan 11, 2020 09:03Serikali ya Venezuela imeionya Marekani na kuitaka iache mchezo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Caracas.