-
Kiongozi Muadhamu: Tumempiga kibao tu adui, anachopaswa kufanya Marekani ni kuondoka eneo hili
Jan 08, 2020 09:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mashambulio ya makombora yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika kambi mbili za Marekani nchini Iraq ni kibao cha uso tu alichopigwa adui huyo.
-
Zaidi ya magaidi 80 wa Kimarekani waangamizwa katika shambulio la SEPAH
Jan 08, 2020 09:38Afisa mmoja mwandamizi wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, zaidi ya magaidi 80 wa jeshi la Marekani wameangamizwa na karibu 200 wengine wamejeruhiwa katika majibu makali yaliyotolewa na Iran dhidi ya kambi mbili za kijeshi za nchi hiyo huko Iraq.
-
Rouhani: Majibu kamili ya Iran ni kukatwa miguu ya Wamarekani Asia Magharibi
Jan 08, 2020 08:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia majibu makali yaliyotolewa usiku wa kuamkia leo na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ya kuwashambulia magaidi wa Kimarekani katika kambi zao mbili za kijeshi nchini Iraq na kusema kuwa, majibu kamili ya Iran kwa jinai za Wamarekani ni kukatwa miguu yao kwenye eneo hili.
-
Ukraine: Hitilafu za ufundi ndizo zilizoangusha ndege yetu karibu na Tehran
Jan 08, 2020 07:41Ubalozi wa Ukraine mjini Tehran umesema kuwa, hitilafu za kiufundi ndizo zilizopelekea kuanguka ndege ya nchi hiyo karibu na mkoa wa Tehran, hapa nchini Iran.
-
Zarif: Iran imeshambulia kambi za Marekani nchini Iraq kwa mujibu wa kifungu cha 51 cha UN cha haki ya kujilinda + Video
Jan 08, 2020 07:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia hatua iliyochukuliwa leo na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ya kuwashambulia magaidi wa Kimarekani katika kambi ya kijeshi ya Ain al Asad nchini Iraq na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa jibu hilo kali kwa kutegemea kifungu nambari 51 cha Hati ya Umoja wa Mataifa cha haki ya kujilinda.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran imejizatiti mkabala wa madola ya kibeberu
Jan 08, 2020 04:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran limejiandaa na kujizatiti barabara mkabala wa madola ya kibeberu duniani.
-
Jibu kali la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa jinai na ugaidi wa vikosi vamizi vya Marekani
Jan 08, 2020 04:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC, mapema leo Jumatano alfajiri, katika kujibu jinai na ugaidi wa wanajeshi vamizi wa Marekani ambao walimuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, limevurumisha makombora ambayo yamelenga kituo cha anga cha jeshi vamizi na la kigaidi la Marekani cha Ain al-Assad nchini Iraq.
-
Meja Jenerali Baqeri: Tutatoa jibu kali zaidi kwa hatua yoyote ovu ya US
Jan 08, 2020 04:34Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatatoa jibu kali zaidi na kwa nguvu zote dhidi ya hatua yoyote ghalati na ovu ya Marekani.
-
Watu 176 waaga dunia katika ajali ya ndege ya Ukraine mjini Tehran
Jan 08, 2020 04:12Watu 176 wamepoteza maisha baada ya ndege ya abiria ya Ukraine kuanguka na kuteketea moto viungani mwa mji mkuu wa Iran, Tehran.
-
Iran yavurumisha makombora ya balestiki na kupiga kambi za jeshi za Marekani
Jan 08, 2020 00:18Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limevurumisha makombora ya balestiki na kupiga kambi za kijeshi za Marekani nchini Iraq, kama jibu la kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha SEPAH.