-
Ayatullah Makarim Shirazi: Mwisho wa uhai wa Uwahabi unakaribia
Dec 19, 2019 21:39Ayatullah Nasir Makarim Shirazi mmoja wa Marja wakuu taqlidi katika mji mtakatifu wa Qum hapa nchini amesema kuwa Matakfiri wangeshatokomea kitambo kama kusingekuwepo na dola za mafuta na uungaji mkono wa Marekani kwa matakfiri hao.
-
Iran yakosoa azimio la kisiasa la UN juu ya haki za binadamu nchini
Dec 19, 2019 09:10Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inakosoa vikali azimio lililopasishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu eti ukiukaji wa haki za binadamu hapa nchini.
-
Rais Rouhani: Ulimwengu wa Kiislamu unapaswa kuachana na mfumo wa kifedha wa Marekani
Dec 19, 2019 04:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una changamoto nyingi kitaifa na kimataifa na kusisitiza kuwa, nchi za Kiislamu zinapaswa kuwa na tadibiri na mikakati madhubuti ya kuachana na ubeberu wa sarafu ya dola wa kutegemea mfumo wa kifedha wa Marekani.
-
Rouhani: Marekani ndio mzizi wa matatizo ya Waislamu duniani
Dec 19, 2019 00:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uingiliaji mambo wa Marekani ndilo chimbuko la matatizo na migogoro inayoukabili uliwemwengu wa Kiislamu hii leo.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi zote za Kiislamu kutengeneza akili bandia
Dec 18, 2019 08:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi zote za Kiislamu katika kustawisha utaalamu wa Akili Bandia (Artificial Intelligence).
-
Rais Rouhani: Iran imevibadilisha vikwazo na kuvifanya kuwa fursa
Dec 18, 2019 04:36Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa taifa hili na kusema kuwa, Tehran imesimama kidete na kuvibadilisha vikwazo na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya maadui na kuwa fursa.
-
Shamkhani: Kulieneza kundi la Daesh ni mkakati wa Marekani na Israel wa kusambaza chuki dhidi ya Uislamu
Dec 18, 2019 04:33Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, kueneza kundi la kigaidi la Daesh ni mkakati wa Marekani na utawala haramu wa Israel wenye lengo la kusambaza chuki dhidi ya Uislamu, kuzusha mifarakano na kuanzisha vita na migogoro katika nchi za Kiislamu za Mashariki ya Kati.
-
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa, chaitaka serikali ya Nigeria kumuachilia huru haraka Sheikh Zakzaky
Dec 17, 2019 22:09Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa cha nchini Iran, kimeitaka serikali ya Nigeria kumuachilia huru haraka na bila masharti Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo.
-
Kikao cha pamoja cha viongozi wa Iran na Japan; sisitizo la kustawishwa zaidi ushirikiano wa pande mbili
Dec 17, 2019 09:16Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran karibuni hivi anatarajiwa kuelekea Tokyo mji mkuu wa Japan kwa ajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Iran inataka kuwa na uhusiano mkubwa na nchi muhimu za Asia
Dec 17, 2019 04:44Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.