-
Iran inapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo cha kisiasa
Dec 10, 2019 21:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa jibu kwa taarifa ya Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na kusema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapinga kutumiwa haki za binadamu kama chombo cha kisiasa dhidi ya nchi huru na zenye kujitegemea."
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yawataka Wairani wasifanye safari nchini Ufaransa kutokana na machafuko
Dec 10, 2019 21:43Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewataka Wairani wasifanye safari nchini Ufaransa kutokana na ghasia na migomo inayoendelea kufanyika nchini humo.
-
Spika Larijani: Iran inaendelea kustawi licha ya vikwazo
Dec 10, 2019 10:34Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema kuwa, Iran inaendelea kustawi pamoja na kuwa imewekewa vikwazo.
-
Mousavi: Iran itatoa jibu la kujutisha kwa uchokozi wa aina yoyote ile
Dec 09, 2019 08:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran itatoa jibu kali na la kujutisha kwa uchokozi wa aina yoyote au hatua yoyote ile ya kipumbavu itakayochukuliwa dhidi yake.
-
Bajeti ya mwaka ujao ya Iran, vigezo vya kiuchumi na matarajio ya wananchi
Dec 09, 2019 06:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumapili aliwasilisha rasimu ya bajeti ya mwaka ujao wa 1399 Hijria Shamsia katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge).
-
Zarif: Nchi za Ulaya zitekeleze majukumu yao katika mapatano ya nyuklia
Dec 09, 2019 04:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijaridhishwa na kiwango ambacho nchi za Umoja wa Ulaya zinatekeleza mapatano ya nyuklia ya JCPOA."
-
Watu 16,000 wajisajili kugombea ubunge Iran, ongezeko la 29%
Dec 08, 2019 09:26Mwenyekiti wa Makao Makuu ya Uchaguzi nchini Iran amesema watu 16,000 wamejiandikisha kwa ajili ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao hapa nchini.
-
Rais Rouhani awasilisha bungeni bajeti ya mwaka ujao wa fedha wa 1399 Hijria Shamsia
Dec 08, 2019 04:04Rais Hassan Rouhani amewasilisha bungeni bajeti ya serikali ya mwaka ujao wa fedha wa 1399 Hijria Shamsia.
-
Zarif: Mafanikio ya kisayansi ya wasomi Wairani ni mwiba katika macho ya maadui
Dec 08, 2019 01:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia ustawi wa Iran lakini haijaweza kufanikiwa.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zatiliana saini hati tatu za ushirikiano
Dec 08, 2019 01:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati tatu za ushirikiano katika uwanja wa viwango vya bidhaa, michezo na usafiri na uchukuzi wa baharini.