-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Taifa la Iran kwa mara nyingine limesambaratisha njama hatari kutokana na ushupavu wake
Nov 27, 2019 10:03Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshukuru harakati ya wananchi wengi wa taifa la Iran katika kipindi cha wiki moja iliyopita na kusisitiza kuwa kwa harakati hiyo wananchi wa Iran wamesambaratisha njama kubwa, hatari sana na iliyoratibiwa.
-
Msimamo wa Iran katika kikao cha 24 cha mkutano wa kila mwaka wa Mkataba wa Silaha za Kemikali
Nov 27, 2019 07:43Kikao cha 24 cha kila mwaka cha Mkataba wa Silaha za Kemikali kinaendelea katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mjini The Hague, Uholanzi. Kikao hicho kilianza Jumatatu tarehe 25 Novemba 2019 na kinatarajiwa kuendelea hadi keshokutwa Ijumaa.
-
Iran yawasilisha malalamiko kwa serikali ya Norway baada ya Qur'ani kuchomwa moto nchini humo
Nov 27, 2019 04:51Kaimu balozi wa Norway mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Jamhuri ya Kiislamu baada ya kiongozi wa kundi lenye misimamo mikali la SIAN kuchoma moto kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini humo.
-
Sisitizo la Iran la kuangamizwa kikamilifu silaha zote za atomiki
Nov 26, 2019 08:10Msimamo wa kimsingi na wa siku zote wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kutokomezwa kikamilifu aina zote za silaha za nyuklia na kuunga mkono malengo ya Mkataba wa Kupiga Marufuku Kikamilifu Majaribio ya Silaha za Nyuklia (CTBTO).
-
Iran: Baraza la Usalama la UN linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari, linahitaji mageuzi
Nov 26, 2019 04:36Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, Baraza la Usalama la umoja huo linakabiliwa na migogoro ya uhalali na itibari ambayo inapasa ishughulikiwe kwa kufanyiwa mageuzi baraza hilo.
-
Wananchi wa Iran wavunja njama za kimataifa na fitna za mabeberu
Nov 25, 2019 12:05Wananchi wa Tehran leo wamefanya maandamano ya milioni ya watu ikiwa ni kuungana na wananchi wa maeneo mengine ya Iran kulaani machafuko yaliyofanywa na wahuni wanaoongozwa na maadui wa taifa hili.
-
Kulinda usalama katika jamii, kipaumbele cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kudhamini haki za binadamu
Nov 25, 2019 09:19Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatetea haki za binadamu sambamba na kulinda usalama wa wananchi wake kwa sababu haki za binadamu na usalama ni nukta mbili za pamoja zinazotegemeana.
-
Mousavi: Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya Iran hautokani na kulitakia kheri taifa hili
Nov 25, 2019 08:43Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, matamshi na uingiliaji wa viongozi wa Marekani katika machafuko ya hivi karibuni nchini Iran chimbuko lake siyo urafiki au kulitakia kheri taifa hili.
-
Iran yakamata tani nzima na zaidi ya kilo 300 za mihadarati kusini mashariki mwa nchi
Nov 24, 2019 23:22Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi katika mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran ametangaza habari ya kukamatwa zaidi ya tani moja na kilo 300 za madawa ya kulevya katika eneo la Saravan mkoani humo.
-
Mtaalamu wa kisiasa Uturuki: Wairan wamezishinda Marekani na utawala haramu wa Israel
Nov 25, 2019 04:13Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa nchini Uturuki amesema kuwa, hatua ya kuwadhibiti wafanya ghasia na vurugu nchini Iran imefelisha njama za Marekani na utawala haramu wa Israel.