-
Makeke ya Trump mbele ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 22, 2019 08:20Donald Trump Rais wa Marekani mwenye kubwabwaja sana tangu aingie ikulu ya White House amechukua mkondo wa sera za chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na utendaji wake umejikita katika mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Tehran ili kwa njia hiyo aweze kulifanya taifa hili lisalimu amri na kukubali matakwa ya Washington.
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto za vijana wa Iran
Oct 22, 2019 04:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mashinikizo, vikwazo na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto na mafanikio ya vijana wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Zarif asisitiza kuhusu udharura wa ushirikiano wa kimataifa
Oct 22, 2019 04:26Kuweko ushirikiano wa pande kadhaa katika jamii ya kimataifa ni jambo lenye udharura.
-
Larijani: Iran imeandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza nchini
Oct 22, 2019 00:38Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema mchakato wa kuandaa mazingira kwa ajili ya Afrika Kusini kuwekeza hapa nchini umekamilika na kusisitiza kwamba, uhusiano wa pande mbili unahitaji kupigwa jeki katika ushirikiano wa kiuchumi.
-
Sayyid Mousavi: Iran iko tayari kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA
Oct 21, 2019 09:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Dakta Zarif: Niko tayari kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya kutatua hitilafu zilizopo
Oct 21, 2019 08:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapokea kwa mikono miwili ubunifu wowote ule wenye lengo la kuhitimisha vita nchini Yemen na kwamba, yupo tayari kufanya safari nchini Saudi Arabia endapo mazingira yataandaliwa.
-
Iran inajitegemea kikamilifu katika sekta ya nyuklia
Oct 21, 2019 04:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa inajitegemea kikamilifu katika shughuli zake za nyuklia na haipokei msaada wowote wa kigeni katika uga huo.
-
Rouhani alishukuru taifa na serikali ya Iraq kwa kufanikisha Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 20, 2019 09:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Rais wa Waziri Mkuu wa Iraq akiwashukuru na kuwapongeza wananchi, maafisa, na maulama hususan marjaa na viongozi wa juu wa kidini kwa kudhamini usalama kamili na kuwakirimu Waislamu walioshiriki katika Arubaini ya Imam Husein (as).
-
Zanganeh: Juhudi za kusitisha ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran zimefeli
Oct 20, 2019 08:10Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa ustawi wa sekta ya mafuta ya Iran si tu kuwa haujasitishwa bali kusainiwa makubaliano na kutekelezwa miradii mingi katika sekta ya mafuta na gesi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kumeongezeka.
-
"Nchi za Ulaya hazina muamana, zinashirikiana na Marekani kuishinikiza Iran"
Oct 20, 2019 04:16Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema nchi za Ulaya hazina muamana na zimeshindwa kutekeleza wajibu wao kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA.