-
Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa
Nov 13, 2023 08:21Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.
-
Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu
Nov 09, 2023 07:57Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.
-
Maangamizi ya kizazi Ukanda wa Ghaza na ubinadamu uliotoweka katika nchi za Magharibi
Nov 02, 2023 05:40Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wapenda wasikilizaji katika Makala ya Wiki hii na leo tutazungumzia maangamizi ya kizazi katika eneo la Ukanda wa Ghaza na kuporomoka kwa ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Uongo 10 unaoenezwa na Wazayuni kupotosha kadhia ya Palestina
Nov 01, 2023 07:18Wazayuni wanafanya propaganda kubwa kujaribu kupotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zao na kuhusu kadhia nzima ya Palestina.
-
Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21
Nov 01, 2023 07:00Wazayuni wameshambulia hospitali na kuua shahidi kwa umati na kwa mkupuo mmoja mamia ya Wapalestina.
-
Historia fupi ya Ukanda wa Ghaza
Nov 01, 2023 06:40Je, unaposikia Ukanda wa Ghaza unajua ni nini? Je umewahi kujiuliza kwa nini kwa zaidi ya miaka 75 sasa Wapalestina wanaendelea na mapambano hadi hivi sasa.
-
Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini
Oct 31, 2023 07:10Hamjambo wapendwa wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi chetu cha makala ya wiki, ambapo juma hili tutazungumzia uungaji mkono wa Marekani kwa Israel, sababu na kwa nini. Karibuni.
-
Kukumbuka siku ya kufariki dunia Bibi Maasuma SA
Oct 25, 2023 13:45Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Faatima al Maasuma 'Alayha Salam', mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu (SAW).
-
Utawala wa Kizayuni wa Israel wamtishia pia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Oct 25, 2023 09:44Licha ya kuwa, misimamo ya Umoja wa Mataifa haikuwiana kabisa na ukubwa na upeo wa jinai za kivita zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, na hadi sasa bado misimamo hiyo haijawa athirifu katika kuzima vita hivyo, lakini misimamo ya hivi karibuni ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa haijavumiliwa na utawala huo.
-
Ukweli Uliopinduliwa na Wamagharibi
Oct 21, 2023 04:48Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha wiki hii cha Makala ya Wiki. Leo tunachunguza madai ya nchi za Magharibi eti ya kufanya hisani na kujali haki za binadamu, tukiangazia hali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza katika kipindi cha sasa cha mashambulizi ya kikatili ya Israel yanayofadhiliwa na Marekani na washirika wake dhidi ya watu wa Ghaza.