-
Kumbukumbu ya Siku ya Kuanzishwa Harakati ya Kupambana na Ujinga nchini Iran
Dec 31, 2022 09:50Moja kati ya haki za msingi za binadamu katika jamii yoyote ile ni kujua kusoma na kuandika.
-
Hamasa ya tarehe 9 Dei; Siku ya Ung'amuzi na Muono wa Mbali
Dec 31, 2022 04:52Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
-
Hatimaye Ronaldo ajiunga na timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia
Dec 31, 2022 02:09Mchezaji mahiri wa soka Cristiano Ronaldo amejiunga na klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia kwa mkataba utakaodumu hadi 2025.
-
Rais Samia amlilia Pele, atuma salamu za pole Brazil
Dec 31, 2022 01:47Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana wanasiasa na wanasoka kote duniani kuomboleza kifo cha Pele.
-
CAF: Pele atakumbukwa daima barani Afrika
Dec 31, 2022 01:44Patrice Motsepe, Rais wa Shirikisho la Kandanda barani Afrika (CAF) amesema kuwa, nyota wa kandanda Pele, alikuwa na ''msukumo wa kipekee'' kwa bara la Afrika ambao utaishi milele kwenye mioyo ya wapenzi wa mpira wa miguu.
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Issa Masih (as)
Dec 30, 2022 07:34Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasiklilizaji popote pale mlipo. Karibu kkutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujienii kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih (as) Mtume na mja wa Mwenyezi Mungu. Nataraji mtakuwa pamoja nami hadi mwisho wa dakika hizi chache. Karibuni.
-
Kombe la Dunia Qatar 2022, uwanja wa kutangaza uungaji mkono kwa Palestina
Dec 15, 2022 04:49Wakati tunakaribia siku za mwisho za mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022, wimbi la uungaji mkono wa watu wa Qatar, Waislamu na wapenda haki kote duniani kwa Palestina, limekuwa la kushangaza na kusisimua sana.
-
Hatua mpya za nchi za Magharibi za kuzuia matangazo ya Press TV; nembo ya vita vya mseto dhidi ya Iran
Dec 08, 2022 23:07Shirika la huduma za satalaiti la Intelsat la Ufaransa limetangaza kukata matangazo ya televisheni ya Press TV ya Iran wiki chache baada ya vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya televisheni hii ambayo hurusha matangazo yake kwa lugha ya Kiingereza duniani kote.
-
Maalumu Siku ya Kufa Shahidi Hadhrat Zahra al Batul (as)
Dec 08, 2022 05:36Tarehe 13 Jumadil-Awwal, ni siku ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi binti wa Mtume wetu, Muhammad al Mustafa (saw), Bibi Fatimatu Zahra (as) na siku ya maombolezo ya Waislamu hususan wapenzi wa Ahlul Bait (as).
-
Cameroon yatoka sare 3-3 na Serbia na kuwa na matumaini ya kusonga mbele
Nov 28, 2022 09:51Timu ya taifa ya soka ya Cameroon imebakisha hai matumaini ya kutinga katika hatua ya 16 bora ya mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar baada ya kupambana kiume na kutoka sare ya mabao 3-3 na Serbia katika mchuano uliokuwa na ushindani mkubwa.