-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 07:12Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kuondolewa ujahili mamboleo
Jan 30, 2022 05:34Neno 'ujahili' au ujinga ambalo limetumika katika Qur'ani na Hadithi na hata katika vitabu na nyaraka nyingi za kihistoria lina maana nyingi.
-
Bibi Fatimatuz Zahra SA, Fakhari ya uumbaji
Jan 18, 2022 11:18Amani iwe juu ya Bibi mpwekeshaji. Amani iwe juu ya kumbukumbu ya Mtume Muhammad SAW, Bibi Fatimatuz Zahra (SA). Na kongole na pongezi ziwafikie wanawake na wanaume wote, wapenzi wa Faatimah.
-
Kumbukumbu ya Siku za Fatimiyah
Dec 18, 2021 13:11Assalaam alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa siku hizi za maombolezo ya binti ya Mtume (SAW), Bibi Fatima Zahra (AS) zinazojulikana kama ‘Siku za Fatimiya’.
-
Asilimia 2 ya wahajiri wote duniani wanaishi Iran
Dec 18, 2021 09:52Nchini Iran kuna wahajiri milioni nne ambao ni asilimia mbili ya wahajiri wote duniani katika hali ambayo idadi ya watu wa Iran ni asilimia moja ya watu wote wa dunia.
-
Zainab, Simba Jike Binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu
Dec 13, 2021 10:43Tarehe 5 Jamadil Awwal inasadifiana na siku aliyozaliwa Bibi Zainab, simba jike binti wa Simba wa Mwenyezi Mungu.
-
Siku ya Kufutwa Utumwa Duniani
Dec 06, 2021 13:18Kwa jina la Mwenyezi Mungu, aliyemuumba mwanadamu akiwa huru, hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa wa mwingine na hakuumba kiumbe chochote isipokuwa kwa ajili ya kumwabudu Yeye mwenyewe, ambaye ni Muumba na anayestahiki kuabudiwa.
-
Adabu za kusema na kuzungumza na watu
Dec 06, 2021 09:54Sisi sote tunaelewa kwamba, shakhsia na hali ya ndani ya nafsi ya wanadamu huwa na taathira ya moja kwa moja katika mwenendo wake na jinsi ya kusema na kuzungumza kwake na wanadamu wenzake.
-
Siku ya Kimataifa ya Kujitolea na Ustawi wa Kiuchumi na Kijamii
Dec 06, 2021 09:11Kusaidia na kutoa huduma kwa wanadamu wenzako ni miongoni mwa sifa na vigezo vyenye thamani kubwa vya maisha ya binadamu.
-
Kumbukizi ya Kuzaliwa Imam Hassan Askary (a.s) +SAUTI
Nov 13, 2021 12:49Assalaamu Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh.