uncategorised
  • Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria

    Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria

    Jul 05, 2018 02:46

    Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.

  • Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah

    Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah

    Jun 05, 2018 13:23

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.

  • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba AS

    Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba AS

    May 30, 2018 03:11

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.

  • Mwaliko wa Ramadhani

    Mwaliko wa Ramadhani

    May 28, 2018 07:44

    Waashiki wa Qur'ani Tukufu hukikaribia zaidi kitabu hiki cha mbinguni katika mwezi huu mtukufu na kuzipa nyoyo zao msisimuko na uhai mpya kwa kusoma, kujifunza na kudiriki maarifa yake.

  • Mwaliko wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Mwaliko wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    May 20, 2018 08:20

    Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni nyote tusikilize kwa pamoja kipindi hiki maalumu ambacho tumekutayarishieni kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.

  • Madai ya Rais Erdoğan wa Uturuki juu ya kufanikiwa jeshi lake katika operesheni ya Afrin, Syria

    Madai ya Rais Erdoğan wa Uturuki juu ya kufanikiwa jeshi lake katika operesheni ya Afrin, Syria

    May 07, 2018 21:49

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amedai kuwa jeshi la nchi hiyo limefanikiwa kuwaua magaidi wengi katika operesheni zake eneo la Afrin, kaskazini mwa Syria.

  • Kupasishwa mabaliko ya Katiba nchini Chad

    Kupasishwa mabaliko ya Katiba nchini Chad

    May 01, 2018 22:05

    Bunge la Chad limepasisha marekebisho ya Katiba ya nchi hiyo ambayo kivitendo yanampatia nguvu na mamlaka zaidi Rais Idriss Déby wa nchi hiyo.

  • "Ghuba ya Uajemi" (Persian Gulf); Jina Litakalobaki Milele Katika Kurasa za Historia

    May 01, 2018 04:05

    Ni matumaini yangu kuwa hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Jumatatu ya tarehe 30 Aprili ilisadifiana na siku ya mwisho ya kuondoka Wareno baada ya kutimuliwa kwenye eneo la maji ya kusini mwa Iran. Kwa mnasaba wa tukio hilo, siku hii inajulikana katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi". Baada ya utangulizi huo mfupi nakuomba sasa ujiweke tayari kusikiliza yale niliyokuandalia kwa mnasaba wa siku hiyo.

  • Imam Mahdi (AF), Mwokozi Muahidiwa

    Imam Mahdi (AF), Mwokozi Muahidiwa

    Apr 30, 2018 06:01

    Siku hizi ni siku za kusherehekea kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi (af) ambaye alizaliwa tarehe 15 Shaaban Hijiria. Tunatoa mkono wa pongezi na fanaka kwa Waislamu wote duniani na hasa wapenzi na wafuasi wa Watu wa Nyumba ya Mtukufu Mtume (saw) kwa mnasaba huu wa furaha wa kuzaliwa mtukufu huyo wa Ahlul Beit (as).