-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 08:59Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.
-
Ujumbe na Ibra Tunazopata Katika Tukio la Ashura
Sep 24, 2017 03:13Assalamu alaykum wasikilizaji wetu wapenzi warahmatullahi wabarakatuh. Mapambano ya Imam Hussein (as) na wafuasi wake waaminifu yalichukua muda usiotimia hata siku moja; na shakhsia wote hao wakubwa na waliokomboka wakauliwa shahidi na jeshi kubwa la Yazid mwana wa Muawiyah, mwana wa Abu Sufyan.
-
Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS
Sep 21, 2017 03:40Assalam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu niliyokuandalieni kwa munasaba wa siku hizi 10 za kwanza za Mwezi wa Muharram ambapo Waislamu na wapenda haki kote duniani wanaomboleza kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS. Katika makala yetu ya leo tutaangazia mada ya Qur'ani Tukufu na Imam Hussein AS.
-
Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi
Sep 20, 2017 03:18Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.
-
Mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Sep 20, 2017 03:18Waislamu wengi katika pembe mbalimbali za dunia wanakumbana na ubaguzi na aina mbalimbali za ukatili wa kidini, kikaumu na kikabila.
-
Matakwa mapya ya kufanyiwa marekebisho muundo wa Umoja wa Mataifa
Sep 19, 2017 23:21Ikiwa ni katika harakati mpya, wawakilishi wa nchi 128 wametia saini mpango wa kutaka marekebisho yafanyike katika muundo wa Umoja wa Mataifa.
-
Mateso ya Waislamu wa Rohingya katika picha
Sep 17, 2017 06:31Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zinazoonesha sehemu ndogo to ya matezo makubwa yanayowatesa Waislamu wa jamii ya Rohingya kutokana na ukatili na unyama wa kuchupa mipaka wanaofanyiwa na mabudha
-
Mawaidha ya Ghadir na Sheikh Mulabbah Saleh
Sep 16, 2017 06:30Yafuatayo hapa ni mawaidha kuhusiana na sikukuu ya Ghadir kama yanavyoletwa kwenu na Sheikh Mulabbah Saleh wa Dar es Salaam Tanzania.
-
Wasiwasi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mkwamo wa kisiasa Guinea Bissau
Sep 14, 2017 22:06Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa sanjari na kuelezea wasiwasi mkubwa lilionao kuhusiana na mkwamo wa kisiasa wa Guinea Bissau limewataka viongozi wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika watafute haraka iwezekanavyo njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Utumiaji akili na hikima katika fikra za Imam Kadhim (as)
Sep 10, 2017 13:54Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikiliza wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa Al Kadhim (as). Mwenyezi Mungu Mwenye hikima aliwatuma wajumbe wake kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu kuelekea kwenye saada na ufanisi wa dunia na Akhera.