-
Matukio ya wiki ya Kiislamu
Feb 13, 2016 03:16Matukio muhimu ya Kiislamu ukanda wa Afrika Mashariki
-
Kuenea ufisadi kati ya maafisa wa ngazi za juu wa jeshi la Israel
Feb 11, 2016 23:22Jumatano ya tarehe 10 Februari, mahakama moja huko Baytul Muqaddas ilitoa hukumu dhidi ya Ehud Olmert, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel kwa kuharibu mchakato wa kusikiliza kesi yake. Inatarajiwa kuwa, Jumatatu ijayo, Olmert atapelekwa jela rasmi. Kabla ya hapo pia, waziri mkuu huyo wa zamani wa utawala wa Kizayuni alikuwa amehukumiwa kifungo cha miezi 18 jela baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ufisadi mkubwa wa fedha na kutumia vibaya madaraka yake.
-
Mshauri wa mufti wa Misri: Imam Hussein AS aliuawa na watu waliokuwa na fikra za kitakfiri
Feb 11, 2016 11:38Mshauri wa Mufti wa Misri, Majd Ashur amesema kuwa, Imam Huseein AS, mjukuu wa Mtume Muhammad SAW aliuliwa shahidi na watu waliokuwa na fikra za kigaidi na kitakfiri.
-
IOM: Mamia ya wahajiri wamefariki dunia tangu mwanzoni mwa mwaka huu
Feb 09, 2016 23:55Shirika la Kimataifa la Wahajiri (IOM) limeripoti kuwa, mamia ya wahajiri wamefariki dunia katika wiki sita tu za mwanzoni mwaka huu wa 2016.
-
Matamshi ya Kiongozi Muadhamu katika mkutano na maafisa wa Jeshi la Anga
Feb 09, 2016 04:08Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, siku ya Jumatatu alikutana na makamanda na maafisa wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema, maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Februari 11 Bahman na uchaguzi ujao wa Februari 26 ni Idi mbili zenye maana kwa taifa la Iran.
-
Kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia bibi Maasuma AS
Feb 05, 2016 04:39Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyofariki dunia Bibi Fatima al Maasuma, Alayha Salam, mmoja wa wajukuu wa Mtume Mtukufu SAW
-
Kuarifishwa mgombea wa muungano wa wapinzani wa serikali nchini Kongo Brazzaville
Feb 03, 2016 09:15Muungano mkuu wa vyama vya upinzani nchini Kongo Brazzaville umemtangaza mgombea atakayepeperusha bendera yake katika uchaguzi mkuu ujao nchini humo.
-
Marekani inakiuka haki za binadamu
Feb 02, 2016 03:30Marekani imelaumiwa vikali kwa kukiuka haki za binadamu kitaifa na kimataifa.
-
Wasi wasi wa kuongezeka propaganda chafu za Uwahabi katika nchi za Asia ya Kati
Feb 02, 2016 03:24Duru za habari zinaelezea kuwepo ongezeko la upenyaji wa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh lenye mafungamano na Uwahabi, katika nchi za Waislamu za Asia ya Kati na Caucasia.
-
Hujuma za kigaidi na taathira zake kwenye mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Syria
Feb 01, 2016 09:15Sambamba na kuanza duru nyingine ya mazungumzo kati ya pande zinazohasimiana nchini Syria, serikali ya Damascus bado inaendelea na juhudi za kupambana na magaidi jambo linaloonekana kuwa changamoto kubwa kwa mafanikio ya mazungumzo yaliyoanza hivi karibuni.