-
Syria na Israel zafikia makubaliano tete ya usitishaji vita
Jul 19, 2025 03:15Rais wa mpito wa Syria na waziri mkuu wa Israel wamekubaliana kusitisha mapigano kufuatia makabiliano ya umwagaji damu ya siku kadhaa katika Jimbo la Suweida, lililoko kusini mwa Syria.
-
Afisa wa Syria aonya: Yumkini Israel imetuvamia ili kumpindua al-Sharaa
Jul 19, 2025 02:48Afisa mmoja wa Syria amesema Israel imeishambulia Syria kwa kisingizio cha kuwalinda wafuasi wa jamii ya Druze walio wachache huko Suwayda, lakini nia ya hasa ni kupindua serikali ya Syria inayoongozwa na Rais wa mpito, Ahmed al-Sharaa.
-
Kiongozi wa kidini wa Wadruze: Hatutaki 'himaya' ya Israel
Jul 19, 2025 01:24Kiongozi wa kiroho wa kabila la wachache la Druze nchini Lebanon amesema jamii hiyo inapinga ombi la utawala wa Israel la "kuwalinda" walio wachache.
-
Hizbullah: Israel ilitaka kuisambaratisha Iran, lakini Tehran ikaibuka mshindi
Jul 19, 2025 01:16Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Israel ulikuwa ukitaka kuendeleza ajenda yake ya uharibifu dhidi ya Iran wakati wa vita vyake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu mwezi uliopita, lakini Tehran iliweza kuushinda utawala huo ghasibu.
-
Malaki ya Wayemen waandamana tena kutangaza mshikamano na Wagaza
Jul 18, 2025 12:28Mamia ya maelfu ya Watu huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, walikusanyika jana Ijumaa katika maandamano ya kutangaza mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na kulaani uchokozi wa jeshi la Israel huko Gaza na Yemen.
-
Operesheni za Yemen zailazimisha Israel kuifunga bandari ya Eilat; ushindi kwa Ansarullah
Jul 18, 2025 01:31Bandari ya Eilat ya utawala wa kizayuni wa Israel itasitisha shughuli zake kuanzia Jumapili baada ya kushindwa kulipa madeni yake kufuatia kushuka kwa mapato kulikosababishwa na mashambulizi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen katika Bahari Nyekundu.
-
Waliofariki katika ajali ya moto Iraq wafikia 71, wataombolezwa kwa siku 3
Jul 17, 2025 08:58Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki kutokana na moto uliotokea katika mji wa Kut, jimboni Wasit mashariki mwa Iraq, imefikia 77.
-
Nini lengo la utawala wa kizayuni la kuzusha mgogoro nchini Syria?
Jul 17, 2025 06:42Utawala wa kizayuni wa Israel unaendelea na mashambulizi yake katika maeneo mbalimbali ya Syria kwa lengo la kuzusha mgogoro nchini humo.
-
Bunge la Waarabu lalaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Syria, Lebanon
Jul 17, 2025 03:13Bunge la Waarabu limelaani vikali mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya maeneo ya Syria na Lebanon, na kutangaza kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na tishio kubwa kwa utulivu wa kikanda.
-
Ansarullah yapiga kwa kombora, droni maeneo hasasi ya Israel
Jul 17, 2025 01:09Vikosi vya Wanajeshi vya Yemen vimeshambulia maeneo matatu nyeti ya Israel kwa kombora la balestiki na ndege nne zisizo na rubani, baada ya kuulazimisha utawala huo ghasibu kutangaza kufungwa kwa moja ya bandari zake muhimu.