-
Mkutano wa Kiislamu Lahore watilia mkazo kuungwa mkono Palestina
May 01, 2025 00:15Mkutano wa Kiislamu kuhusu nafasi ya ulimwengu wa Kiislamu katika kuunga mkono Palestina uuliofanyika huko Lahore, Pakistan umetilia mkazo juu ya uulimwengu wa Kiislamu kuunga mkono kadhia ya Palestina.
-
Oktoba 7; Netanyahu aeupuka uwajibikaji huku mgawanyiko ikishadidi Israel
Apr 30, 2025 10:06Miezi 18 baada ya Oktoba 7, 2023, bado serikali ya utawala wa Israel inakabiliwa na taathira za na operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anajaribu kuepuka uwajibikaji huku akijaribu kutupia lawama hii kubwa kwa wengine.
-
Israel: Hatusitishi mashambulizi mpaka Wapalestina wafukuzwe Gaza; Syria igawanyishwe
Apr 30, 2025 06:49Waziri wa fedha mwenye misimamo ya kuchupa mipaka wa Israel, Bezalel Smotrich anasema utawala huo wa Kizayuni utasitisha tu uvamizi wake Gaza wakati "mamia ya maelfu" ya Wapalestina watalazimishwa kuyahama makazi yao; na Syria igawanyishwe vipande vipande.
-
Pakistan: India huenda ikaanzisha mashambulizi ndani ya saa 24 hadi 36 zijayo
Apr 30, 2025 03:05Waziri wa Habari wa Pakistan, Attaullah Tarar amesema leo Jumatano kwamba nchi yake ina taarifa za kuaminika za kiintelijensia kwamba India inakusudia kufanya shambulizi la kijeshi dhidi ya Pakistan ndani ya masaa 24 hadi 36 yajayo, hilo likiwa tishio la hivi karibuni zaidi la vita kati ya majirani hao wawili wenye silaha za nyuklia.
-
Ben-Gvir aagiza kufungwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds
Apr 29, 2025 23:01Waziri wa wa Israel mwenye misimamo ya kufurutu ada, Itamar Ben-Gvir, ameamuru kufungwa kwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds katika eneo la Quds Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni; huu ukiwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni za kimataifa, ukiashiria hatua nyingine ya kichokozi inayowalenga Wapalestina katika eneo hilo.
-
Shirika la Haki za Binadamu la Euro-Med: 94% ya waliouliwa na mashambulio ya Israel Ghaza ni raia
Apr 29, 2025 03:44Shirika la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Ulaya na Mediterania, Euro-Med Human Rights Monitor limeyatoa maanani madai ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba majeshi yake yanapambana na wapiganaji wa Hamas huko Ghaza likisititiza kuwa kwa uchache asilimia 94 ya waathirika wa mashambulio ya kinyama ya utawala huo ni raia.
-
Hizbullah ya Lebanon yaeleza kwa msisitizo: Hatutasalimu amri mbele ya njama za Israel na Marekani
Apr 29, 2025 03:43Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amezungumzia shambulio la hivi karibuni la utawala wa Kizayuni kwenye viunga vya kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut, na akasema: "shambulio hili limefanywa kwa idhini na uungaji mkono wa Marekani."
-
ICJ yaanza kusikiliza hatua za kibinadamu zinazopaswa kutekelezwa na Israel
Apr 28, 2025 23:14Mwanadiplomasia wa Palestina jana Jumatatu aliiambia Mahakama ya Kilele ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inawaua, inawafurusha raia wa Kipalestina na kuwashambulia wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu huko Gaza.
-
Watoto 1,000 wauawa Palestina katika kipindi cha wiki moja
Apr 28, 2025 07:54Watoto wasiopungua 1,000 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika kipindi cha juma moja kufuatia wimbi jipya la hujuma na unyaama wa utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Makumi ya wahamiaji wa Kiafrika wauawa kwa shambulio la Marekani
Apr 28, 2025 07:53Takriban wahamiaji 68 wa Afrika wameripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la anga la Marekani dhidi ya kituo kimoja kinachodhibitiwa na Harakati ya Ansarulllah ya Yemen kaskazini-magharibi mwa nchi hiyo.