-
Umoja wa Mataifa: Gaza itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika siku za usoni
Apr 27, 2025 22:55Umoja wa Mataifaa aumetangaza kuwa, eneo laa Ukanda waa Gazaa litakabiliwa na ahali mbaaya zaidi ya kibinadamu katika siku za usoni na kwamba, kuna haja ya kuchukuliwa hatua kuzuia kutokea hilo.
-
Waandamanaji Tel Aviv watishia kumuua Netanyahu
Apr 27, 2025 09:45Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ameendelea kuandamwa na mashinikizo baada ya kufanyika maandamano mengine dhidi yake huku waandamanaji wakitishia kumuua.
-
Wapalestina wengine 51 wauawa shahidi katika hujuma ya kinyama ya Israel
Apr 27, 2025 09:05Kwa akali Wapalaestina 50 wameuawa shahidi katika mashambulio ya kinyama ya karibuni zaidi kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza huku idadi ya vifo ikiendelea kuongezeka.
-
OIC yalaani hatua ya Marekani dhidi ya shirika la UNRWA
Apr 27, 2025 08:41Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani wa kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina (UNRWA).
-
Mjibizo wa OIC kwa hatua ya Marekani ya kuiondolea UNRWA kinga ya kisheria
Apr 27, 2025 06:15Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema, imesikitishwa na hatua ya Marekani ya kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA na kuitaka Washington iutafakari upya uamuzi wake huo na kurejesha ufadhili wake wa kifedha kwa shirika hilo.
-
Ansarullah: Hatutasitisha uungaji mkono wetu kwa watu wa Gaza
Apr 27, 2025 04:04Naibu mkuu wa taasisi ya habari la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza katika taarifa yake kwamba, kwa hali yoyote ile msaada na uungaji mkono wa harakati hiyo kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza hautasita.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel akiri juu ya uhaba mkubwa wa askari jeshini
Apr 27, 2025 04:00Naftali Bennet Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni amekiri kuwa jeshi la utawala huo linakabiliwa na uhaba mkubwa wa askari jeshini.
-
Yemen yakishambulia kwa kombora la "Palestina 2" kituo cha anga cha Nevatim cha jeshi la utawala wa Kizayuni
Apr 26, 2025 23:05Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa vikosi hivyo imekishambulia kwa kombora kituo cha jeshi la anga la utawala wa Kizayuni cha Navatim katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Ripota Maalumu wa UN: Hali ya kibinadamu Ghaza ni mbaya mno
Apr 26, 2025 07:39Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema leo Jumamosi kwamba hali ya kibinadamu huko Ghaza ni mbaya sana.
-
Kukiri kufeli operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Yemen
Apr 25, 2025 23:09Wiki kadhaa zimepita tangu Marekani ilipoanzisha operesheni kubwa na tata za kijeshi dhidi ya Yemen, huku kukiwa na mashambulizi ya mara kwa mara na mengi ya anga katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, lakini hivi sasa vyombo vya habari vya Marekani vimekiri kushindwa utawala wa Trump katika operesheni zake za kujeshi huko Yemen.