-
Araghchi: Matamshi ya Trump juu ya Iran huko Riyadh ni ya "udanganyifu"
May 14, 2025 23:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amepuuzilia mbali matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu ustawi na maendeleo ya Iran kuwa ya "udanganyifu" akiashiria vikwazo vya Washington dhidi ya nchi hii kwa zaidi ya miongo minne.
-
Mfalme wa Bahrain: Kufanikiwa mazungumzo ya Washington-Tehran ndio ufunguo wa utulivu
May 14, 2025 23:38Mfalme wa Bahrain, Sheikh Hamad bin Isa Al-Khalifa amesema kuwa, mafanikio ya mazungumzo yanayoendelea kati ya Marekani na Iran yataongeza utulivu wa kikanda na kimataifa.
-
Malengo ya safari ya Trump katika nchi tatu za Kiarabu
May 14, 2025 08:35Rais Donald Trump wa Marekani alianza safari ya siku tatu katika nchi tatu za kusini mwa Ghuba ya Uajemi, Saudi Arabia, Imarati (UAE) na Qatar kuanzia Jumanne, Mei 13.
-
Shambulio la 3 la kombora la hypersonic la Yemen dhidi ya Ben Gurion
May 14, 2025 08:01Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen wamefanya shambulio jipya la kombora la hypersonic dhidi ya utawala haramu wa Israel na kupelekea sauti za ving'ora vya tahadhari kuhanikiza katika sehemu ya kaskazini ya ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo pandikizi.
-
Jihad Islami: Tunakaribisha mapendekezo kwa ajili ya usitishaji vita wa haraka
May 14, 2025 03:21Msemaji wa harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza kuwa wanakaribisha mapendekezo yote yatakayopelekea kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo.
-
Yair Golan: Vita vya Gaza lazima visitishwe haraka iwezekanavyo
May 14, 2025 03:00Mkuu wa Chama cha Kidemokrasia cha utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka kusimamishwa vita haraka iwezekanavyo dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yailaani Israel kwa kumuua mwandishi mashuhuri wa habari Gaza
May 13, 2025 08:59Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kumuua mwandishi habari maarufu na mwenye ushawishi mkubwa wa Kipalestina na kuyataka mauaji hayo kuwa ya kinyama. Hamas imesema mauaji hayo ni sehemu ya kampeni ya Israel kunyamazisha vyanzo vya ukweli.
-
Rais Trump wa Marekani awasili Saudia, alenga kutoka na kitita cha dola trilioni 1
May 13, 2025 08:58Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasili mjini Riyadh katika awamu ya kwanza ya ziara yake ya siku nne katika eneo la Asia Magharibi, ambapo analenga kupata hadi dola trilioni moja za uwekezaji kutoka Saudi Arabia.
-
Kukandamizwa watetezi wa Palestina na kuporomoka maadili ya kibinadamu barani Ulaya
May 13, 2025 04:42Uwanja wa Stalingrad wa Paris hivi karibuni ulishuhudia maandamano makubwa ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Palestina.
-
Jenerali wa zamani aonya: Israel imegeuka kutoka kuwa mali na kuwa mzigo kwa Marekani
May 13, 2025 02:38Kamanda wa zamani wa jeshi la Israel huko Gaza amesema Israel sasa imegeuza kutoka kuwa mali na kuwa mzigo mzito kwa Marekani.