-
Hizbullah yashambulia vikosi vamizi vya Israel kusini mwa Lebanon
Jun 05, 2026 11:19Wapiganaji wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon wametekeleza wimbi la mashambulizi yaliyoratibiwa siku ya Alhamisi, wakilenga ngome kadhaa za kijeshi za Israel na kusababisha hasara kubwa kwa wanajeshi hao vamizi wa Kizayuni.
-
Foreign Policy: Chuki dhidi ya Wakristo imeongezeka huko Israel
Jun 04, 2026 03:12Uchunguzi uliofanywa na baadhi ya vyombo vya habari umebaini kuwa chuki na hujuma dhidi ya Wakristo vimeongezeka huko Israel.
-
Wanajeshi wa Israel wakiona cha mtemakuni Lebanon; ripoti ya Marekani: Hizbullah sasa ina uwezo zaidi kuliko awali
Jun 03, 2026 13:25Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imesema imetoa kipigo kikubwa kwa wanajeshi wa Israel katika mji wa al-Bayyada, kusini mwa Lebanon, huku jeshi la Israel likiendelea kushindwa na wanajeshi wake wakikabiliwa na mbinu za kisasa zaidi.
-
Je, Israel inafuatilia malengo gani katika kuzidisha vita nchini Lebanon?
Jun 03, 2026 12:13Utawala wa Kizayuni unaendelea kushambulia Lebanon ambapo katika siku za hivi karibuni ulikuwa umetishia kuushambulia mtaa wa Dhahiyah kusini mwa Beirut na kutaka watu wahame kutoka eneo hilo. Swali muhimu ni je, kwa nini utawala wa Kizayuni unataka kushadidisha mgogoro na vita nchini Lebanon?
-
Yemen yatishia kutoa jibu la pande zote kwa ongezeko lolote la mashambulizi ya Israel nchini Lebanon
Jun 03, 2026 04:10Harakati ya mapambano ya Ansarullah nchini Yemen imetangaza kuwa vikosi vya jeshi la Israel vilivyotumwa Lebanon vitaendelea kuwa katika hatari ya mashambulizi yatakayofanywa na harakati hiyo kuonyesha mshikamano na Lebanon na harakati yake ya mapambano ya Hizbullah hadi vitakapoondoka kabisa kwenye ardhi ya Lebanon.
-
Waliowengi Baraza la Usalama la UN walaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon
Jun 02, 2026 09:08Idadi kubwa ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wameonyesha kutokuridhishwa kwao na kuongezeka kwa mashambulizi ya kijeshi ya Israel dhidi ya Lebanon. Wakati hayo yakijiri, Marekani imepuuza kuukosoa utawala wa Israel, badala yake ikielekeza lawama zake zote kwa harakati ya Muqawama ya Hizbullah na nchi ya Iran.
-
Watu 12 wauawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya Israel katika ardhi ya Lebanon
Jun 01, 2026 11:24Ikiwa ni katika muendelezo wa ukiukaji wa makubaliano ya usitishaji vita na mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya miji na vijiji vya kusini mwa Lebanon yaliyotekelezwa zaidi ya mara 36 mchana na Jumapili usiku, watu 12 wameuawa shahidi na wengine 35 kujeruhiwa katika mashambulizi hayo ya jinai.
-
Yemen: Kupiga marufuku Hamas na Jihad Islami kunaonyesha jinsi Ulaya inavyoukingia kifua Uzayuni wa kimataifa.
Jun 01, 2026 09:24Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imelaani vikali hatua ya Umoja wa Ulaya ya kuimarisha vikwazo dhidi ya harakati za ukombozi wa Palestina, Hamas na Jihad Islami, ikiitaja kuwa ni ishara ya utiifu kwa Uzayuni wa kimataifa.
-
Waziri wa Israeli Ben-Gvir amhimiza Netanyahu 'kusawazisha vitongoji vya Beirut na ardhi'
May 31, 2026 12:48Waziri anayejiita wa usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir, amemtaka Waziri Mkuu wa utawaka huo katili, Benjamin Netanyahu, kusawazisha na ardhi vitongoji vya mji mkuu wa Lebanon, Beirut huku utawala huo ukizidisha mashambulizi yake dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Hamas: EU imewawekea vikwazo viongozi wa Gaza lakini 'imepuuza' ukatili wa Israel
May 31, 2026 04:18Harakati ya Hamas imelaani vikwazo vya Umoja wa Ulaya, ikiikosoa kambi hiyo kwa "kufumbia macho" ukiukaji wa sheria za kimataifa unaofanywa na Israel huku ikiyalenga makundi na viongozi wa mapambano ya ukombozi wa Palestina.