-
Kwa nini Iran inakaribisha upanuzi wa ushirikiano na Afghanistan?
Mar 05, 2025 22:56Majadiliano na mikutano ya maafisa wa Iran na Afghanistan yanaendelea kwa lengo la kupanua uhusiano na kutatua masuala kati ya nchi hizi mbili.
-
Yemen yaangusha ndege ya 15 ya kisasa ya kijasusi ya Marekani
Mar 05, 2025 06:30Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha kwa mafanikio ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper baada ya kuingia katika anga ya nchi hiyo kinyume cha sheria na kufanya operesheni za kijeshi katika mkoa wa magharibi wa al-Hudaydah.
-
Mpango wa Umoja wa Nchi za Kiarabu kuhusu Palestina unapingana na matakwa ya Marekani na Utawala wa Kizayuni
Mar 05, 2025 04:43Viongozi wa nchi za Kiarabu, katika mkutano wao mjini Cairo, wamepinga mipango na njama za kishetani za Marekani na utawala wa Kizayuni kwa kukataa hatua za kulazimisha uhamishaji wa Wapalestina.
-
Hamas: Kufunga vivuko vya Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita
Mar 05, 2025 02:40Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS imelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni cha kufunga kwa siku tatu mfululizo vivuko vya Ukanda wa Gaza na kuitaja hatua hiyo kuwa inashadidisha kukiukwa makubaliano ya kusitisha mapigano na ni jinai ya kivita.
-
Mkutano wa viongozi wa Arab League wapasisha mpango wa Misri wa kuijenga upya Gaza
Mar 05, 2025 02:38Mkutano wa viongozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) umepasisha mpango wa Misri wa kuijenga upya Gaza na kutaka kutumwa wanajeshi wa kulinda amani katika eneo hilo.
-
Hamas: Tumejenga upya uwezo wetu kwa vita vyovyote vya siku zijazo
Mar 05, 2025 00:43Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palesina HAMAS amesema kuwa, ingawa uamuzi wa kuanzisha tena vita kwa sasa unaonekana uko mbali, lakini harakati hiyo tayari imejenga upya uwezo wake wa kijeshi ili kukabiliana na vita vyovyote vile vya siku za usoni.
-
Mwezi wa Ramadhani Gaza: Wapalestina wataabika kuandaa futari na daku
Mar 04, 2025 08:36Vita haribifu vya utawala ghasibu wa Kizayuni dhidi ya wananchi madhulumu wa Ukanda wa Gaza vimekuwa na taathira nyingi kwa wakazi wa eneo hilo katika siku za nyuma hususan katika kiipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
UNICEF yaonya Israel dhidi ya kuzuia misaada kuelekea Gaza
Mar 04, 2025 07:55Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF limeonya kuwa uamuzi wa Israel wa kuzuia upelekaji wa misaada ya kibinadamu isipokuwa maji kwenye Ukanda wa Gaza, kwa haraka utapelekea hatari kubwa kwa watoto na familia ambazo tayari zimetatizika.
-
Uvurugaji wa utawala wa Kizayuni na kuongezeka wasiwasi kuhusu kuvunjika usitishaji vita huko Ghaza
Mar 04, 2025 07:47Huku awamu ya kwanza ya usitishaji vita na kubadilishana wafungwa na mateka kati ya utawala wa Kizayuni na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas), ikiwa imemalizika, baraza la mawaziri la Netanyahu limeongeza wasiwasi wa kuanzishwa tena vita dhidi ya Ukanda wa Gaza, kwa kuvuruga mazungumzo ya utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita.
-
Jeshi la Israel latekeleza ‘Uvamiaji wa Kina Kabisa’ katika Ardhi ya Syria
Mar 04, 2025 04:34Katika hali ya kuzidisha mgogoro kwa kiwango kikubwa, vikosi vya nchi kavu vya utawala haramu wa Israel vimefanya uvamizi wa "kina kabisa" hadi sasa katika eneo la Syria, vikilenga maeneo katika mikoa ya kusini-magharibi ya Quneitra na Dara’a.