-
Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi awasalia Mashahidi wa Hizbullah, bahari ya umati wa watu yaifunika Beirut
Feb 23, 2025 11:28Sheikh Muhammad Yazbek, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameongoza Sala ya Maiti ya kusalia miili ya Mashahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Sayyid Hashim Safiyyuddin katika mazishi ya kihistoria yaliyofanyika leo katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Mwanamke Mlebanoni aliyekaidi marufuku ya kuinua picha ya Nasrullah kwenye Uwanja wa Ndege wa Beirut azungumza
Feb 23, 2025 09:10Asmaa Bzeih mwanamke kijana Mlebanoni mwenye umri wa miaka 27 ambaye amekuwa nembo ya upinzani baada ya hivi karibuni kukabiliana na maafisa husika katika uwanja wa ndege wa Beirut amesema kuwa dunia inapasa kuungana na Muqawama.
-
Familia ya Bibas yakataa kuwaruhusu mawaziri wa serikali ya Netanyahu kuhudhuria mazishi yake
Feb 23, 2025 08:25Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa familia ya Shiri Bibas imesema kiongozi yeyote wa serikali ya Benjamin Netanyahu hapaswi kuhudhuria mazishi ya wana wao watatu, ambao miili yao ilirejeshwa siku chache zilizopita huko Israel kutoka Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yakadhibisha madai ya kuwauwa mateka wa Kizayuni
Feb 23, 2025 04:21Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amekadhibisha vikali madai ya uwongo ya utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba harakati hiyo imewauwa mateka wake kadhaa wa Israel.
-
Waziri Mkuu wa Yemen: Hizbullah imempigisha magoti adui Mzayuni
Feb 23, 2025 04:15Waziri Mkuu wa Serikali ya Mabadiliko na Ujenzi ya Yemen amesema kuwa Harakati ya Muqawama ya Lebanon, Hizbullah, imempigisha magoti adui Mzayuni.
-
Iran kuwakilishwa na Spika wa Bunge, Waziri wa Mambo ya Nje katika mazishi ya Shahidi Nasrallah
Feb 23, 2025 00:17Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) Mohammad Baqer Qalibaf na Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi leo wanaelekea Beirut kushiriki katika hafla ya mazishi ya kiongozi wa Hizbullah aliyeuawa shahidi, Sayyed Hassan Nasrallah, pamoja na mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah, Shahidi Sayyid Hashim Safieddine.
-
Hizbullah: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama
Feb 22, 2025 23:14Naibu Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema: Adui Mzayuni hawezi kuusambaratisha muqawama.
-
IOM: Asilimia 90 ya nyumba za Gaza zimebomolewa
Feb 22, 2025 23:13Shirika la Kimataifa la Uhamiaji limetangaza kuwa, asilimia 90 ya nyumba katika Ukanda wa Gaza zimeharibiwa, na mamia ya maelfu ya Wapalestina hawana pa kwenda, na Wapalestina ambao wamerejea katika maeneo yao wanajikuta wakikabiliwa na vilima vya uchafu.
-
Kufichuka nia halisi ya utawala wa Kizayuni nchini Syria
Feb 22, 2025 23:11Kimya na kutochukua hatua yoyote watawala wapya wa Syria vimeufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufikirie kuyatwaa kabisa maeneo mapya yaliyokaliwa kwa mabavu nchini Syria.
-
HAMAS: Mateka 6 Waisrael wataachiwa leo mkabala wa Wapalestina 602 walioko kwenye jela za Israel
Feb 22, 2025 02:34Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza majina sita ya mateka Waisrael, ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo katika mwendelezo wa awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na utawala wa Kizayuni wa Israel.