-
Errea nayo yabatilisha mkataba wake na Shirikisho la Soka la utawala wa Kizayuni
Feb 20, 2025 04:08Kampuni nyingine ya udhamini wa vifaa vya michezo ya Ulaya imefuta mkataba wake na Shirikisho la Soka la utawala wa Kizayuni wa Israel na hivyo kutoa pigo jingine kwa utawala huo haramu.
-
Vikosi vya Israel vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa
Feb 19, 2025 23:13Wakati mashambulizi ya jeshi katili la utawala haramu wa Israel katika sehemu mbalimbali za Ukingo wa Magharibi yakiendelea kwa siku ya 30 mfululizo, vikosi vya utawala huo ghasibu vimevamia nyumba ya mhubiri wa Msikiti wa Al-Aqsa, Sheikh Ekrima Sabri.
-
Rais Aoun: Israel lazima iache kukalia kwa mabavu kusini mwa Lebanon
Feb 19, 2025 23:06Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, ameitaka Marekani kuushinikiza utawala wa Israel kuacha kukalia kwa mabavu eneo la kusini mwa Lebanon.
-
Kuendelea kushtakiwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina
Feb 19, 2025 23:04Gideon Sa’ar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala vamizi wa Israel ameshtakiwa kwa kutenda jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS iko tayari kuwaachia mateka wote mkabala wa Israel kuondoka kikamilfu Ghaza na vita kuhitimishwa
Feb 19, 2025 03:24Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imependekeza kubadilishana mateka wote wa Israel kwa mateka Wapalestina "kwa mpigo" wakati wa awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano Ghaza, kwa lengo la kufikia mapatano ya kudumu na jeshi la utawala wa Kizayuni kuondoka kikamilifu katika eneo hilo.
-
Ripoti: Marekani na Ufaransa zinataka askari mamluki wapelekwe kusini mwa Lebanon
Feb 19, 2025 03:24Marekani na Ufaransa zimeripotiwa kuwa zimependekeza mamluki wanaoitwa wakandarasi binafsi wapelekwe kusini mwa Lebanon katika jitihada za kuushawishi utawala wa Kizayuni wa Israel uondoe kikamilifu majeshi yake nchini humo.
-
Jumuiya ya mateka wa Palestina: Mateka 58 wamekufa shahidi katika muda wa miezi sita iliyopita
Feb 18, 2025 10:13Mkuu wa Jumuiya ya mateka wa Palestina amesema, kuna hatari nyingi zinatishia maisha ya mateka wa Kipalestina, na kwamba katika kipindi cha miezi sita iliyopita, mateka 58 wamekufa shahidi wakiwa ndani ya jela za utawala wa Kizayuni.
-
Jeshi la Israel laendelea kukalia maeneo ya ardhi ya Lebanon licha ya muhula wa kuondoka kumalizika
Feb 18, 2025 10:12Muhula wa mwisho uliokuwa umetolewa kwa askari wote wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka kusini mwa Lebanon chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa kati ya utawala huo na harakati ya Hizbullah ulimalizika leo Jumanne, huku Israel ikitangaza kuwa itaendelea kubaki katika "maeneo matano ya kimkakati" ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Israel kuunda 'wakala wa kuwafukuza' Wapalestina Gaza
Feb 18, 2025 04:00Wizara ya Vita ya Israel imesema ipo mbioni kuunda chombo mahsusi cha utawala huo wa Kizayuni cha kushughulikia eti "kuondoka kwa khiari" raia wa Palestina kutoka Gaza.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Israel ashtakiwa katika Mahakama ya ICC
Feb 17, 2025 08:01Gideon Sa’ar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala vamizi wa Israel ameshtakiwa kwa kutenda jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.