-
Kushindwa Trump katika "Kamari ya Jumamosi Adhuhuri"
Feb 17, 2025 04:31Jumamosi adhuhuri pia imekuja na kupita na licha ya Hamas kukataa kuwaachilia huru mateka wote wa Kizayuni kama alivyotaka Rais Donald Trump wa Marekani, rais huyo ameshindwa kutekeleza tishio lake la kuanzisha Jahannam huko Gaza.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Hatutasalimu amri na wala hatutashindwa
Feb 17, 2025 03:18Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem, amesema katika hotuba aliyotoa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuwaenzi makamanda waliouawa shahidi kwamba: Haj Imad Mughniyah alikuwa shakhsia wa kiusalama na kijeshi na mbunifu ambaye aliwaongoza Mujahidina kwa msingi wa moyo wa imani.
-
Netanyahu: Mpango wa Trump wa "kuitwaa Ghaza" ni "fursa ya kihistoria" ya kudhamini mustakabali wa Israel
Feb 17, 2025 03:15Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameliita pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la "kuitwaa" Ghaza "fursa ya kihistoria" ya kudhamini mustakabali wa utawala huo bandia na kudai kwamba kuwaondoa Wapalestina wa Ghaza ndilo "suluhisho pekee linalowezekana."
-
HAMAS: Wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi ya Palestina
Feb 17, 2025 01:04Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuzungumzia mpango wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa Ghaza na kutangaza kuwa wavamizi hawatokuwa salama ndani ya ardhi hiyo ya Palestina.
-
Israel inaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano Lebanon
Feb 16, 2025 10:30Utawala wa Kizayuni wa Israel umeshambulia kusini mwa Lebanon na kudai kuwa umemuua mmoja wa makamanda wa kikosi cha anga cha Hizbullah.
-
Kuendelea upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza
Feb 16, 2025 10:21Katika muendelezo wa upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza, mbali na Waislamu, Wakristo pia wamepinga na kulalamikia mpango huo na kuonya dhidi ya matokeo yake mabaya.
-
Jibu la HAMAS kwa Trump: Quds na Msikiti wa al-Aqswa ni mstari wetuu mwekundu
Feb 15, 2025 22:54Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, hakuna mpango wowote wa kuwaondoa kwa lazima wananchi wa Palestina utakaokubaliwa.
-
Malengo maovu ya utawala wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi
Feb 15, 2025 22:51Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza mashambulizi ya kinyama katika maeneo mbalimbali ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Hizbullah: Kudumisha mahusiano na Iran ni kwa maslahi ya Lebanon
Feb 15, 2025 08:51Mjumbe mwandamizi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah nchini Lebanon amekosoa jinsi serikali ya Lebanon ilivyoshughulikia mgogoro wa Alhamisi katika uwanja wa ndege wa mji mkuu Beirut, akisisitiza kwamba kudumisha mahusiano yenye mlingano na Iran ni kwa maslahi ya Lebanon.
-
Hamas yawaachilia mateka watatu Waisraeli mkabala wa wafungwa 369 wa Kipalestina
Feb 15, 2025 08:38Wanaharakati wa mapambano ya Kiislamu au Muqawama wa Gaza wamewakabidhi mateka watatu Waisraeli kwa Msalaba Mwekundu kwa kubadilishana na Wapalestina 369 ambao wataachiliwa baadaye, ikiwa ni sehemu ya mkataba wa kubadilishana mateka na wafungwa unaoendelea chini ya makubaliano ya usitishaji vita.