-
Wito wa Hamas wa kuanzishwa harakati ya kimataifa ya kupinga mpango wa kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina
Feb 15, 2025 08:02Harakati ya Mapambano yya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa mataifa ya Kiarabu, Kiislamu na yaliyo huru duniani kujitokeza katika maandamano ya kupinga na kulaani mradi wa kuwaondoa kwa nguvu wananchi wa Palestina katika ardhi yao.
-
Kundi la Waarabu UN lapinga kufurushwa Wapalestina Gaza
Feb 15, 2025 03:44Kundi la Waarabu katika Umoja wa Mataifa, pamoja na kundi la mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wamepinga vikali mipango yoyote ya "kuwaondoa kwa nguvu" Wapalestina huko Gaza, na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Wapalestina 369 mkabala wa Waisraeli 3 wanaachiwa leo katika duru ya sita ya kubadilishana mateka
Feb 15, 2025 00:08Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetaja majina ya mateka watatu Wasraeli wenye uraia pacha ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo katika duru ya sita ya mabadilishano ya mateka chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas yaonya juu ya kuvunjika makubaliano ya kusitisha mapigano
Feb 14, 2025 23:13Msemaji wa Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiisamu ya Palestina HAMAS ametahadharisha kuhusu uwezekano wa kuvunjika makubaliano ya kusitisha vita kama utawala wa Kizayuni wa Israel utaendelea kufanya vitendo vinavyovunja vipengee vya makubaliano hayo.
-
Utawala wa Kizayuni; muuaji wa 70% ya waandishi wa habari duniani
Feb 14, 2025 23:11Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari nchini Marekani sambamba na kutangaza kuwa, idadi kubwa ya waandishi wa habari waliuawa duniani kote mwaka jana imeeleza kwamba, utawala wa Kizayuni umehusika na mauaji ya takriban asilimia 70 ya waandishi hao.
-
Jihadul Islami: Hatutaruhusu kufukuzwa Wapalestina Gaza
Feb 14, 2025 08:39Mwakilishi wa Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina mjini Tehran amesema Wapalestina kamwe hawatakubali kutekelezwa mpango wa Marekani wa kuwaondoa kwa nguvu wakazi wa Gaza.
-
Ansarullah waapa kuchukua hatua ya kijeshi iwapo mpango wa Trump dhidi ya watu wa Gaza utatekelezwa
Feb 14, 2025 04:38Kiongozi wa harakati ya Ansarulllah nchini Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kuchukua hatua za kijeshi mara moja iwapo Marekani na Israel zitaanzisha mashambulizi kwenye Ukanda wa Gaza au kutekeleza mpango wa kuwahamisha kwa mabavu wakazi wa eneo hilo.
-
Hamas yatoa wito wa maandamano makubwa kupinga mipango ya kuwaondoa Wapalestina huko Gaza
Feb 13, 2025 23:43Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa Wapalestina, Waarabu, Waislamu na watu huru kote duniani kushiriki katika harakati ya kimataifa siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili, ili kupinga mipango ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwaondoa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kulikalia kwa mabavu eneo hilo.
-
Hamas yasisitiza: Watu wa Palestina watasalia imara katika ardhi yao
Feb 12, 2025 05:52Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekariri upinzani wake dhidi ya matamshi yaliyotolewa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu suala la kuwahamusha makazi Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza kwa kisingizio cha kulijenga upya eneo hilo.
-
Zaidi ya maghasibu 500,000 wa Kiyahudi wanaugua maradhi ya afya ya akili
Feb 12, 2025 05:50Wazayuni milioni tatu wamekumbwa na matatizo ya kiakili baada ya Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.