-
Kukimbia wanajeshi wa Marekani San'a ni ushindi mkubwa kwa Yemen
Feb 12, 2025 03:14Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kukimbia wanajeshi wanamaji wa Marekani mjini San'a ni ushindi mkubwa kwa wananchi wa Yemen na kusisitiza kuwa, kukimbia wanajeshi hao vamizi wa Marekani ni ishara ya kushindwa mradi wa kupenda kujitanua Washington nchini Yemen.
-
Mpango wa Trump kwa ajili ya Gaza; njama za kuifuta Palestina
Feb 12, 2025 03:10Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria upinzani mkubwa wa nchi za eneo na kimataifa dhidi ya mpango haramu wa Rais wa Marekani kuhusu Gaza na kueleza kwamba, mpango huo wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Palestina kutoka Gaza kwa mujibu wa mpango wa kikoloni wa "kuifuta Palestina".
-
Mkuu wa Majeshi ya Oman: Mataifa ya ukanda huu ndio wamiliki wa eneo hili
Feb 12, 2025 03:07Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Oman amesema kuwa: "Tutafanya kila tunaloweza kuhakikisha kunadumishwa ushirikiano katika eneo hilo, kwani mataifa ya ukanda huu ndio wamiliki wa eneo hili."
-
Hamas yapinga vikali kauli ya Trump, yanasema usitishaji mapigano ndio njia pekee ya kuwarudisha mateka wa Israel
Feb 11, 2025 10:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani wito wa Rais wa Marekani wa kufutwa usitishaji vita katika eneo la Ukanda wa Gaza hadi pale harakati hiyo ya mapambano ya ukombozi wa Palestina itakapowaachia huru mateka wote wa Israel waliosalia katika muda wa siku chache, ikisema Donald Trump lazima akumbuke kwamba njia pekee ya kurejea mateka wa Israel ni kuheshimu mapatano hayo.
-
HAMAS yasitisha mchakato wa kuwaachia mateka kutokana na Israel kukiuka makubaliano ya kusitisha vita
Feb 11, 2025 03:44Brigedi za Izzuddinul-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa, zinasitisha mchakato wa kuwaachia huru mateka wa Israel uliopangwa kutekelezwa Jumamosi ijayo hadi litakapotolewa tangazo jengine, kutokana na utawala wa Kizayuni kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Ghaza.
-
Ratiba ya wakati na mahali yatapofanyika mazishi ya Shahidi Nasrullah na Shahidi Safiyyuddin yatangazwa
Feb 11, 2025 03:44Kamati ya vyombo vya habari inayohusika na shughuli ya mazishi ya Katibu Mkuu na Mkuu wa Baraza la Kisiasa la Hizbullah ya Lebanon waliouawa shahidi imetangaza kuwa shughuli ya mazishi hayo itafanyika siku ya Jumapili, Februari 19 saa saba mchana.
-
Juhudi za Trump za kufutililia mbali mpango wa kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 10, 2025 12:00Kuongezeka misaada ya silaha ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa Israel pamoja na mpango wake wa kuwahamisha kwa nguvu wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka Misri na Jordan kunaonyesha kuwa moja ya vipaumbele vyake ni kubadili ramani ya eneo hilo na kuharibu kabisa mpango wa kuanzisha nchi huru ya Palestina.
-
Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia
Feb 10, 2025 07:56Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye alipendekeza kuwa Saudi Arabia inaweza kuunda taifa la Palestina ndani ya ardhi yake.
-
Ben-Gvir: Israel imegeuzwa kuwa 'kioja' Mashariki ya Kati
Feb 10, 2025 07:55Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani wa Israel, Itamar Ben-Gvir amesema utawala huo wa Kizayuni umekuwa kioja na kichekesho katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua mwanamke mjamzito wa Kipalestina na kichanga chake katika Ukingo wa Magharibi
Feb 09, 2025 23:13Wanajeshi wa Israel wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamke Mpalestina aliyekuwa na ujauzito wa miezi minane na kichanga kilichokuwa tumboni mwake wakati askari jeshi wa utawala huo ghasibu walipovamia kambi ya wakimbizi ya Nur Shams kaskazini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.