-
Arab League yalaani wazo la Netanyahu la kuwahamishia Wapalestina Saudia
Feb 10, 2025 07:56Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amelaani vikali matamshi yaliyotolewa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, ambaye alipendekeza kuwa Saudi Arabia inaweza kuunda taifa la Palestina ndani ya ardhi yake.
-
Ben-Gvir: Israel imegeuzwa kuwa 'kioja' Mashariki ya Kati
Feb 10, 2025 07:55Aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani wa Israel, Itamar Ben-Gvir amesema utawala huo wa Kizayuni umekuwa kioja na kichekesho katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua mwanamke mjamzito wa Kipalestina na kichanga chake katika Ukingo wa Magharibi
Feb 09, 2025 23:13Wanajeshi wa Israel wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamke Mpalestina aliyekuwa na ujauzito wa miezi minane na kichanga kilichokuwa tumboni mwake wakati askari jeshi wa utawala huo ghasibu walipovamia kambi ya wakimbizi ya Nur Shams kaskazini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Duru ya Kizayuni: Netanyahu anajaribu kuvuruga makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
Feb 09, 2025 23:12Chombo kimoja cha bahari cha lugha ya Kiibrania kimetangaza kuwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel anafanya kila awezalo kuvuruga makubaliano ya kusimamisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
-
Wakimbizi wa Palestina waendelea kutumia eneo la Netzarim baada ya Israel kuondoka kikamilifu
Feb 09, 2025 07:11Vyombo mbalimbali vya habari vimetangaza kuwa, baada ya wanajeshi wa Israel kutoka kwenye eneo la Netzarim huko Ghaza kama yalivyosema makubaliano ya kusimamisha vita, hivi sasa wakimbizi wa Palestina wanaendelea kuvuka eneo hilo na kurejea kwenye maeneo yao.
-
Saudia yajibu kwa kauli kali matamshi ya kijuba ya Netanyahu kuhusu Palestina
Feb 09, 2025 07:09Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imepongeza upinzani wa kimataifa dhidi ya matamshi ya kijuba ya waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusiana na Ukanda wa Ghaza na imepinga hatua yoyote ya kuhamishwa Wapalestina kutoka kwenye ardhi zao.
-
Lebanon yaunda serikali ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili
Feb 09, 2025 03:39Lebanon imeunda serikali yake ya kwanza kamili tangu mwaka 2022, wakati huu ambapo nchi hiyo ya Kiarabu inajitahidi kujenga upya eneo lake la kusini lililoharibiwa na vita; na kuhakikisha usalama unarejea baada ya mapigano kati ya Israel na Harakati ya Muqawama ya Hizbullah.
-
Israel inawatesa mateka wa Palestina hadi dakika ya mwisho kabla ya kuachiliwa huru
Feb 08, 2025 22:54Mara tu basi la kwanza lililobeba Wapalestina walioachiliwa huru lilipowasili Ramallah, Wapalestina sita walioachiliwa huru wamepelekwa haraka hospitalini kutokana na hali zao kuwa mbaya sana.
-
Cuba: Gaza ni mali ya wananchi wa Palestina
Feb 08, 2025 08:18Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Cuba imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu Palestina na kwamba, Gaza ni mali ya wananchhi wa Palestina.
-
Joseph Aoun: Kuondoka jeshi la Israel ni ufunguo wa kurejea amani Lebanon
Feb 08, 2025 04:33Rais wa Lebanon amesisitiza katika mazungumzo na Mjumbe wa Marekani kuwa amani itarejea kusini mwa Lebanon iwapo jeshi la utawala wa Kizayuni litaondoka katika eneo hilo.