-
Utawala wa Kizayuni waendeleza jinai zake Gaza, Wapalestina wengine 22 wauawa shahidi
Jan 15, 2025 04:15Wapalestina 22 wengine wameuawa shahidi katika hujuma ya anga ya utawala wa Kizayuni.
-
Yemen yazishambulia Tel Aviv na bandari ya Eilat kwa droni na makombora
Jan 15, 2025 04:10Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni mbili za ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya shahaba zilizokusudiwa huko Tel Aviv na katika bandari ya Eilat katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mwanahistoria Ilan Pappe: Hii ni awamu ya mwisho ya Uzayuni, ni Uzayuni-mamboleo wa kikatili zaidi
Jan 14, 2025 23:15Mwanahistoria mtajika Ilan Pappe ambaye ametumia muda mwingi kupigania haki za Wapalestina amesema, hali ya sasa ya utawala haramu wa Israel ni ya Uzayuni-mamboleo unaolenga kufanikisha malengo ya Uzayuni mkongwe kwa njia za nguvu zaidi na kwa muda mfupi zaidi.
-
Askari wa Israel wajuta na kukiri hadharani kuwa walishiriki katika jinai za kivita Ghaza
Jan 14, 2025 23:14Wanajeshi kadhaa wa utawala wa Kizayuni wa Israel walioshiriki katika mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wamesema wanajuta kwa unyama waliofanya katika eneo hilo na hawapati utulivu wanapoyakumbuka mambo waliyoyashuhudia kwa macho yao yakifanywa na askari wenzao.
-
Kushadidi mvutano baina ya Pakistan na Taliban kuhusu chimbuko la ugaidi
Jan 14, 2025 23:04Anga ya mzozo na mvutano kati ya Pakistan na kundi la wanamgambo wa Taliban linalotawala nchini Afghanistan inachukua wigo mpana zaidi.
-
Kusitisha mapigano ni sawa na kukubali kushindwa Israel na Marekani huko Ghaza
Jan 14, 2025 05:45Wataalamu wengi wanaamini kwamba, kukubali kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza na kufikia makubaliano na HAMAS ni sawa na kushindwa Israel na Marekani.
-
Yemen: Tumeitwanga kwa kombora wizara ya vita ya Israel
Jan 14, 2025 05:44Jeshi la Yemen limetangaza kuwa limeilenga Wizara ya Vita ya Israel na kuitwanga kwa kombora la balestiki.
-
Israel imeua shahidi zaidi ya Wapalestina 50 huko Ghaza katika siku moja
Jan 14, 2025 05:44Idara ya Ulinzi ya Raia ya Gaza imetangaza kuwa zaidi ya Wapalestina 50 wameuawa shahidi kwenye mashambulizi ya anga ya Israel katika muda wa saa 24 zilizopita kwenye Ukanda wa Ghaza, ambao unaendelea kuteseka kwa janga la kibinadamu lililosababishwa na mauaji ya kimbari ya utawala katili wa Israel.
-
Wanajeshi wa Israel wakiri kufanya uhalifu wa kivita huko Gaza
Jan 14, 2025 04:15Shirika la habari la Associated Press limeripoti ushuhuda kutoka kwa wanajeshi wa Israel ambao wamekiri kufanya uhalifu wa kivita, kuwalenga watu wasio na ulinzi, na kuharibu na kupora nyumba ambazo hazikuwa tishio wakati wa ushiriki wao katika uvamizi unaoendelea kwenye Ukanda wa Gaza.
-
Chuo Kikuu cha al-Azhar chalaani kimya cha walimwengu kwa jinai za Israel huko Gaza
Jan 13, 2025 23:44Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani vikali ukimya wa jamii ya kimataifa na kutojali mgogoro wa kibinadamu ulioibuliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.