-
Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina
Jan 31, 2025 23:02Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al Dhaif na kusema kamanda huyo Mpalestina alijitolea maisha yake kwa ajili ya kukomboa ardhi ya Palestina.
-
Wamisri wakusanyika mbele ya Kivuko cha Rafah, wakipinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza
Jan 31, 2025 23:01Raia wa Misri walikusanyika jana Ijumaa mbele ya kivuko cha mpakani cha Rafah na Ukanda wa Gaza wakipinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.
-
UN: UNRWA inaendelea kufanya kazi licha ya vikwazo vya Israel
Jan 31, 2025 10:02Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) litaendelea na shughuli zake licha ya vikwazo vilivyowekwa na utawala wa Israel.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaendeleza ukaliaji ardhi kwa mabavu na vita kusini mwa Lebanon?
Jan 31, 2025 08:44Najib Miqati Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon amesisitiza kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yanakiuka wazi mamlaka ya kujitawala ya Lebabon na ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa baina ya pande mbili.
-
Huyu ndiye Mohammad Deif, mhandisi wa Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa
Jan 31, 2025 03:01Shahidi Muhammad Deif, ambaye jina lake halisi ni Muhammad Diab Ibrahim al-Masri, anayejulikana kwa lakabu ya Abu Khaled, alizaliwa mwaka 1965 katika kambi ya wakimbizi wa Palestina ya Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas yatangaza kuuawa shahidi kamanda wake wa kijeshi, Mohammed Deif
Jan 31, 2025 03:00Brigedi za Hizzuddin al Qassam , Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, zimethitibisha habari kuuawa shahidi makamanda wake kadhaa katika mashambulizi ya kikatili ya Israel kwenye eneo lililozingirwa kila upande la Ghaza, akiwemo mkuu wake wa majeshi, Mohammed Deif.
-
Mchambuzi Mzayuni: Israel imepigishwa magoti na kusalimu amri mbele ya mkakati wa Hamas
Jan 31, 2025 03:00Mwandishi mmoja wa Israel amesema katika uchambuzi wake kwamba, tofauti kati ya matukio ya miinuko ya Jabal al-Sheikh huko Syria na yale ya Ghaza ni kwamba, kinyume na ilivyokuwa kwa jeshi la Syria, Hamas wao walikuwa wamejitayarisha na kujipanga vizuri na kupata turufu kwa kuwateka wakazi wengi wa utawala wa Kizayuni.
-
Marufuku ya Israel dhidi ya shughuli za UNRWA kuanza kutekelezwa leo
Jan 30, 2025 08:59Licha ya malalamiko ya walimwengu na asasi muhimu kama Umoja wa Mataifa, lakini utawala wa Israel umekataa kubadilisha uamuzi wake wa kulipiga marufuku Shirika la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA)
-
Kiongozi wa Hay'at Tahir Sham ateuliwa kuwa Rais wa mpito wa Syria
Jan 30, 2025 08:44Mohammad al-Julani, kiongozi waHay'at Tahir Sham ameteuliwa kuwa Rais wa mpito wa Syria.
-
Ukingo wa Magharibi, uwanja mpya baada ya Ghaza wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 30, 2025 04:50Kufuatia kusitishwa mapigano katika maeneo ya kusini mwa Lebanon na Ukanda wa Ghaza, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeanzisha operesheni mpya katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Operesheni hiyo ambayo malengo yake halisi hayajatajwa, imezusha wasiwasi kutokana na kuendelea kwake sambamba na tangazo lililotolewa na Trump la kutaka Wapalestina wa Ghaza wahamishiwe katika nchi za Misri na Jordan.