-
Leo mateka 110 wa Palestina kuachiliwa huru mkabala wa mateka watatu 3 wa Israel
Jan 30, 2025 02:20Kanali ya 12 ya televisheni ya Israel imeripoti kuwa, leo Alkhamisi utawala wa Kizayuni utawaachilia huru mateka 110 wa Kipalestina katika mkabala wa kuachiliwa Wazayuni watatu na raia watano wa Thailand.
-
Mateso na mauaji ya raia Syria; nani wa kuzihami jamii za wachache?
Jan 30, 2025 02:20Licha ya maagizo ya mara kwa mara yanayotolewa makundi yenye silaha yanayowataka wanamgambo wao kufanya mauaji kwa siri dhidi ya raia na kutopiga picha mauaji na uhalifu wao, dhidi ya watu wa jamii za wachache huko Syria, hasa jamii za Maalawi na Mashia, lakini hata hizo video chache zinazovuja, zinaonesha kuendelea kufanyika ukatili wa kutisha sana nchini Syria.
-
UNICEF: Watoto wameathiriwa zaidi na vita katika Ukanda wa Gaza
Jan 29, 2025 22:27Mfumo wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto ndio walioteseka na kuathirika zaidi na vita vya Gaza kkuliiko matabaka mengine katika Ukkanda huo.
-
Umoja wa Mataifa: Shirika la UNRWA halina mbadala
Jan 29, 2025 22:26Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika barua yake kwa Israel kwamba Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA haliwezi kuwa na mbadala na kwamba na litaendelea kufanya kazi zake huko Palestina.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa hatua ya utawala wa Kizayuni dhidi ya UNRWA
Jan 29, 2025 08:47Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini ya serikali ya Biden kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), na kutangaza kuwa anaunga mkono uamuzi wa utawala huo wa kufunga ofisi ya UNRWA huko Quds Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Trump ang'ang'ania mpango wake wa kutaka Wapalestina wahamishwe Ghaza, amwalika Netanyahu
Jan 28, 2025 23:58Rais wa Marekani Donald Trump ameendelea kung'ang'ania pendekezo lake la kuhamishwa Wapalestina wote katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Al-Azhar: Gaza itabaki kuwa Palestina na ardhi ya Kiarabu; UN, EU pia zapinga mpango wa Trump
Jan 28, 2025 05:50Taasisi ya Al-Azhar ya Misri, imelaani mpango wa Rais wa Marekani wa kuwatimua Wapalestina kwa nguvu katika eneo la Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa, Ukanda wa Gaza ni ardhi ya Wapalestina na Waarabu na itabaki hivyo daima.
-
Ni maelfu mangapi ya mabomu ya Marekani yamewaangukia watu wa Gaza?
Jan 28, 2025 05:47Taasisi moja ya Marekani imekiri kwamba Washington iliipatia Israel maelfu ya mabomu ya kuvunja mahandaki aina ya MK-84 wakati wa vita mashambulizi ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Mkuu wa Hizbullah: Lebanon haitasahau msaada wa Iran, Iraq wakati wa vita vya Israel
Jan 28, 2025 04:33Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, watu wa Lebanon hawatasahau uungaji mkono na msaada mkubwa waliopewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq wakati wa mashambulizi makali ya anga na nchi kavu ya Israel dhidi ya nchi yao.
-
Hamas kwa Waislamu kote duniani: Pingeni njama zote za Wazayuni
Jan 28, 2025 04:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa wito kwa jamii ya Waislamu duniani kote, ikiwemo ile ya Palestina, kupinga njama zote za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Umma wa Kiislamu.