-
HAMAS: Muqawama wa watu wa Gaza umeipigisha magoti Israel
Jan 24, 2025 05:48Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kusimama kidete watu wa Gaza na vikosi vya muqawama kumeshinda lengo la utawala unaokalia kwa mabavu la kuwatimua Wapalestina.
-
Vita vya Israel vyaacha mayatima 36,000 na wajane 14,000
Jan 24, 2025 03:29Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza imefikia zaidi ya 36,000, huku takriban wanawake 14,000 wakibakia baada ya waume zao kuuawa kufuatia hujuma na mashambulio ya kinyama ya Israel katika ukanda huo.
-
Washington Post: Google imehusika katika mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Wapalestina
Jan 24, 2025 00:03Gazeti la Marekani la Washington Post limefichua ushirikiano wa kampuni ya Google na utawala wa Israel katika mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Matokeo ya usitishaji vita vya Gaza kwa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Jan 24, 2025 00:02Jeshi na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wamekabiliwa na hali mbaya kutokana na matokeo ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Ansarullah yapuuza hatua ya Marekani kuiweka harakati hiyo kwenye orodha yake ya magaidi
Jan 23, 2025 09:36Ansarullah ya Yemen imepuuza uamuzi wa hivi karibuni wa Marekani wa kuiweka harakati hiyo ya Muqawama kwenye orodha ya makundi yake ya kigaidi na kusema kuwa, kujumuishwa kwenye orodha ya marafiki wa Marekani ni aibu na tishio kubwa zaidi kuliko hata ugaidi wenyewe.
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Ukingo wa Magharibi
Jan 23, 2025 04:19Wanajeshi wa Israel wamewaua shahidi Wapalestina wengine wawili katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, wakati wakiendelea na kampeni ya kijeshi ambayo imeifanya kambi ya wakimbizi ya Jenin "kutoweza kukalika".
-
UN yatahadharisha mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka hadi Ukingo wa Magharibi
Jan 22, 2025 23:21Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina ametahadharisha kuwa mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka kutoka Gaza hadi Ukingo wa Magharibi, kwa kuzingatia operesheni kubwa ya kijeshi inayoendelea kufanywa na utawala huo ghasibu katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin.
-
Sera ya Mashariki ya Kati ya Trump katika muhula wa pili wa urais wake itakuwaje?
Jan 22, 2025 09:34Rais Donald Trump wa Marekani, amerejea ikulu baada ya miaka minne, akianza rasmi muhula wake wa pili wa urais Jumatatu, tarehe 20 Januari 2025. Swali kuu ni: Je, sera yake kuhusu Mashariki ya Kati au Asia Magharibi itakuwaje katika muhula huu wa pili?
-
Baada ya HAMAS, Jihadul Islami nayo yaishukuru Iran kwa msaada wake mkubwa kwa Palestina
Jan 22, 2025 03:08Msemaji wa Brigedi za Al-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imeishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuishambulia mara mbili Israel katika operesheni za Ahadi ya Kweli Moja na Ahadi ya Kweli Mbili na kusisitiza kuwa, Muqawama utaheshimu usitishaji vita kama adui Mzayuni naye ataheshimu makubaliano hayo.
-
Waziri Mkuu wa Qatar: Diplomasia ndiyo njia bora ya kushirikiana na Iran
Jan 22, 2025 03:08Waziri Mkuu wa Qatar ameitaka Marekani kurejea katika meza ya mazungumzo na kufikia makubaliano mapya kuhusu suala la nyuklia la Iran akisisitiza kuwa, diplomasia ndio utatuzi bora zaidi wa masuala tata.