-
Wazayuni wafurahia jinai za magaidi nchini Syria
Dec 01, 2024 08:04Maneno yanayosema: "Adui wa adui yetu anapigana na adui yetu" yamezidi kupata nguvu hivi sasa baada ya vyombo vya habari vya Kizayuni kushindwa kuficha furaha zao kutokana na jinai zinazofanya na magenge ya kigaidi nchini Syria. Huu ni ushahidi wa wazi kwamba matukio ya Syria yanatumikia moja kwa moja malengo ya kibeberu ya Wazayuni.
-
Jeshi la Syria lajiandaa kufanya mashambulio makali dhidi ya makundi ya kigaidi
Dec 01, 2024 03:09Kamandi Kuu ya Jeshi na Vikosi vya Ulinzi vya Syria imetangaza kuwa nchi hiyo imeshajiweka tayari kufanya mashambulizi makali dhidi ya makundi ya kigaidi.
-
Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni "maangamizi ya kizazi"
Dec 01, 2024 02:45Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesema, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Ghaza, akimshutumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."
-
Harakati za magaidi nchini Syria; Duru mpya ya hatua za kambi ya Wazayuni na Marekani dhidi ya muqawama
Dec 01, 2024 00:38Sambamba na kusitishwa mapigano kati ya utawala wa Kizayuni na Lebanon, magaidi wa kaskazini mwa Syria kwa mara nyingine tena wameanzisha hujuma zao na kutekeleza vitendo vya kigaidi dhidi ya ardhi ya nchi hiyo.
-
Venezuela: leo Palestina na Lebanon na kesho Syria, Iraq na Jordan
Dec 01, 2024 00:37Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameonya kwamba "Wazayuni na wale wanaowaunga mkono wanataka kuwavamia na kuwaangamiza Waarabu, na kumiliki mali ya watu wote wa Kiarabu," na kuongeza kuwa "leo Palestina na Lebanon, na kesho Syria, Iraq na Jordan.”
-
Jeshi la Syria: Magaidi wakufurishaji 100 wameuawa na kujeruhiwa; maeneo mengi yamekombolewa
Nov 30, 2024 02:38Jeshi la Syria limewaua na kuwajeruhi mamia ya magaidi wa kitakfiri wanaoungwa mkono na mataifa ya kigeni katika operesheni za kujihami na kujibu mapigo kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Naim Qassim: Muqawama wa wanamapambano wa Kiislamu umeishangaza dunia
Nov 29, 2024 23:38Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, wanamapambano wa kambi ya Muqawama wako tayari kuendelea kupambana na adui wakati wowote watakapolazimika kufanya hivyo.
-
UNRWA: Gaza inashuhudia mashambulizi makali zaidi ya mabomu tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia
Nov 29, 2024 23:17Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limesema, tangu Oktoba 2023, eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina umeshuhudia mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu yanayolenga raia tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia (1939-1945).
-
Daktari aangua kilio wakati anasimulia unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza
Nov 29, 2024 08:12Daktari Tanya Haj-Hassan, ameangua kilio katika mkutano wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akisimulia tajiriba aliyopitia katika Ukanda wa Ghaza unaoendelea kushuhudia vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.
-
Israel yakiuka makubaliano ya kusitisha vita Lebanon, yaendelea kuua Wapalestina Ghaza
Nov 29, 2024 08:12Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limefanya mashambulizi mapya dhidi ya Lebanon kinyume na makubaliano ya kusitisha mapigano liliyofikia na harakati ya Muqawama ya Hizbullah; na wakati huohuo limeshadidisha mashambulizi yake ya kinyama ya anga katika Ukanda wa Ghaza.