-
D8, nembo ya nguvu ya Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 19, 2024 06:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, yuko Misri anakoshiriki mkutano wa 11 wa viongozi wa nchi za kundi la D8.
-
Walowezi milioni 1 wa Kizayuni watoroka baada ya kombora la Yemen kulenga Tel Aviv
Dec 19, 2024 03:30Zaidi ya walowezi haramu milioni moja wamekimbilia katika mahandaki chini ya ardhi baada ya kombora lililorushwa kutoka upande wa Yemen kushambulia eneo kubwa zaidi la mji wa Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandi la Israel.
-
Idadi ya waliouawa shahidi Gaza yakaribia watu 46,000
Dec 18, 2024 23:41Idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi tangu kuanza hujuma kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni huko Gaza (Oktoba 7, 2023) imekaribia watu 46,000.
-
Yemen yasisitiza kukabiliana na hujuma yote ya nchi ajinabi
Dec 18, 2024 23:41Muhammad Ali al Houthi mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa nchi hiyo iko tayari kikamilifu kukabiliana na uchokozi wowote dhidi ya Yemen.
-
Hamas: Picha za mbwa wakila miili za mashahidi ni kielelezo cha ukatili wa kupindukia wa Israel
Dec 18, 2024 04:12Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa picha za mbwa wakila miili ya mashahidi wa Kipalestina mbele ya macho ya wanajeshi wa Israel zinadhihirisha "kiwango cha ukatili na ukubwa wa jinai na unyama wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel na uongozi wake wa kifashisti.”
-
Euro-Med: Israel imepanua uharibifu wa miji kama wenzo wa mauaji ya kimbari huko Gaza
Dec 18, 2024 04:07Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Med Human Rights Monitor linasema kuwa uharibifu unaofanywa na jeshi la Israel katika vitongoji vyote vya Ukanda wa Gaza unaozingirwa ni dhihirisho la wazi la mauaji ya kimbari ambayo utawala huo umekuwa ukifanya kwa muda wa miezi 14 iliyopita.
-
Israel imeua takriban wanafunzi 13,000 huko Gaza, Ukingo wa Magharibi tangu Oktoba 2023
Dec 17, 2024 23:29Takriban wanafunzi 13,000 wameuawa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi tangu utawala huo ulipoanzisha kampeni yake ya mauaji ya kimbari na uharibifu katika ardhi ya Palestina zaidi ya miezi 14 iliyopita.
-
Ukwamishaji mambo wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mchakato wa mazungumzo ya amani Asia Magharibi
Dec 17, 2024 23:11Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameliambia gazeti moja la Italia kwamba tatizo la Palestina si Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bali ni utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mgogoro wa uraibu wa dawa za kulevya na pombe wawazonga vijana wa Israel
Dec 17, 2024 07:47Uraibu wa pombe, dawa za kulevya na kutoroka shule ni sehemu ndogo tu ya matatizo makubwa ambayo yamezidi kuwaandamana vijana wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku za hivi karibuni, hususan baada ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa na kuanza vita vya Ghaza.
-
Baada ya Yemen kuitwanga Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, US na UK zashambulia San'aa
Dec 17, 2024 03:46Siku moja baada ya vikosi vya ulinzi vya Yemen kushambulia mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, la Palestina 2 ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeshambulia maeneo kadhaa ya mji mkuu wa Yemen, Sana'a.