-
Yemen yaingia rasmi vitani kwa maslahi ya Iran
Apr 02, 2026 06:43Yemen imetangaza rasmi kuingia katika vita kwa maslahi ya Iran, na sasa kila mtu ana wasiwasi kuhusu muelekeo wa vita hivi huku Wamagharibi na waungaji mkono wa utawala ghasibu wa Israel wakiingiwa na wasi wasi mkubwa kwamba huenda uchumi wa utawala huo ukabanwa na kupata madhara makubwa iwapo jeshi la Yemen litaamua kufunga na kudhibiti njia muhimu ya usafiri wa meli za biashara na mizigo, yaani Lango-Bahari la Bab al-Mandab.
-
Iran yalaani vikali sheria ya Israel inayoruhusu kunyongwa wafungwa wa Kipalestina
Apr 02, 2026 04:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei, amelaani jaribio la utawala wa Kizayuni wa Israel kupitisha sheria kupitia bunge la utawala huo, Knesset, itakayoruhusu kunyongwa wafungwa wa Kipalestina, akitaja uamuzi huo kuwa ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na misingi ya haki za binadamu.
-
Israel yashambuliwa kwa makombora kutoka Iran, Yemen na Hizbullah
Apr 01, 2026 04:35Mashambulizi ya pamoja ya makombora kutoka Iran, harakati ya Hizbullah ya Lebnon na Jeshi la Yemen yamelenga ngome za utawala wa Kizayuni wa Israel mapema siku ya Jumatano.
-
Kamanda wa ngazi ya juu wa vikosi vya ulinzi vya Yemen: Tupo pamoja na Iran
Mar 30, 2026 06:57Kamanda wa ngazi ya juu wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesema: Tunatumia chaguo la kufunga Mlango Bahari wa Babul Mandab kwa meli za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Bloomberg: Nchi za Ghuba ya Uajemi zimechoshwa na vita/ Oman yaunga mkono Iran
Mar 29, 2026 03:17Chombo kimoja cha habari cha Magharibi kimekiri kwamba nchi za Ghuba ya Uajemi zimechoshwa na vita dhidi ya Iran na zinaamini kuwa Marekani haina mkakati wowote katika vita hivi.
-
Jebelli: Misimamo ya ujasiri ya Shahidi Shoaib ilipinga mashine ya vita ya adui Mzayuni
Mar 29, 2026 05:50Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ametuma salamu za rambirambi kwa wakurugenzi wa Televisheni za Al-Manar na Al-Mayadeen za Lebanon kufuatia hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa kwa makusudi waandishi habari wa vyombo hivyo habari kusini mwa Lebanon.
-
Ansarullah yaingia rasmi vitani; Yashambulia kusini mwa Israel kwa makombora ya balestiki
Mar 28, 2026 07:38Vikosi vya jeshi la Yemen vimetangaza kwamba vimeshambulia shabaha nyeti kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) kwa makombora ya balestiki.
-
Ankara yaziambia nchi za Kiarabu: Msiingie katika mchezo wa Israel
Mar 28, 2026 04:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amezihutubu nchi za Kiislamu na kuzitahadharisha ziwe makini na kutoingia katika mchezo wa utawala wa Kizayuni Israel.
-
Jeshi la Yemen latangaza utayari wa kujiunga na Iran kupambana na maadui
Mar 28, 2026 00:12Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama.
-
Al Houthi: Mashambulizi ya adui Marekani na Mzayuni dhidi ya Iran hayawezi kuhalalishwa kwa namna yoyote
Mar 27, 2026 06:20Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran hayana msingi wowote.