-
UN yasisitiza kuhitimishwa vita Ukanda wa Gaza na Lebanon
Nov 24, 2024 23:43Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Syria ametaka kuhitimishwa vita katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Jeshi la Israel linaendelea kuteketeza roho za watu wasio na hatia Ghaza na Lebanon
Nov 24, 2024 07:59Katika siku ya 416 ya vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni unaendeleza mashambulizi ya kinyama na mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo na vilevile wananchi wa maeneo mbalimbali ya Lebanon.
-
Ayatullah Sistani alaani mauaji dhidi ya Mashia nchini Pakistan
Nov 23, 2024 23:01Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amelaani shambulio la magaidi wa kitakfiri dhidi ya kundi la watu wa mji wa Shia wa Parachinar, Pakistan.
-
Kim Jong Un: Marekani inachangia kuongezeka mivutano duniani
Nov 23, 2024 23:00Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameishutumu Marekani kwa kuongeza mivutano na uchokozi na kueleza kwamba, amesema rasi ya Korea haijawahi kukabiliwa na hatari ya vita vya nyuklia kama sasa.
-
Ripoti: Wanajeshi sita wa Israel wamejinyonga kutokana na vita Gaza
Nov 23, 2024 08:08Takriban wanajeshi sita wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita vya muda mrefu dhidi ya Gaza na Lebanon.
-
UN: Vita vya Israel dhidi ya Lebanon vimeua maelfu wakiwemo Watoto
Nov 23, 2024 08:04Wahudumu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa wamelaani mauaji ya zaidi ya watu 3,600 nchini Lebanon katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Lebanon: Inachofanya Israel ni "msururu wa jinai za kivita" kwa kushambulia sekta ya tiba
Nov 23, 2024 04:32Wizara ya Afya ya Lebanon imeushutumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kufanya ilichokiita "msururu wa jinai za kivita" katika mauaji ya kuwalenga makusudi wafanyakazi wa afya na kubomoa na kuharibu vituo vya afya.
-
Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza inakabiliwa na uhaba wa maji na oksijeni
Nov 23, 2024 04:27Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza kuwa, Hospitali ya Kamal Adwan iliyoko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza inakabiliwa na uhaba wa oksijeni na maji kutokana na mashambulizi makubwa ya ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni.
-
Ripoti: Askari wasiopungua sita wa jeshi la Israel wamejiua katika miezi ya karibuni
Nov 23, 2024 03:09Askari wasiopungua sita wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameripotiwa kujiua katika miezi ya hivi karibuni, kutokana na matatizo ya kisaikolojia yaliyosababishwa na vita vya muda mrefu dhidi ya Ghaza na Lebanon.
-
Hamas: Israel inalenga ‘kufuta uwepo wote wa Wapalestina’
Nov 21, 2024 23:03Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, inasema kuwa lengo pekee la utawala wa Kizayuni wa Israel ni "kufuta" Wapalestina kikamilifu kutoka katika ardhi za Palestina.