-
Bunge la Yemen: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Damascus ni jinai
Nov 16, 2024 23:51Bunge la Yemen limelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji mkuu wa Syria, Damascus na kuitaja hujuma hiyo ya Wazayuni kuwa ni jinai.
-
Mwanahistoria wa Israel: Sasa ni wakati wa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tel Aviv
Nov 16, 2024 22:57Katika mahojiano na gazeti la El Pais la Uhispania, mwanahistoria wa Israel, Ilan Pappé amesema kuwa "mauaji ya kimbari ya Gaza yanafanywa na utawala unaoamini kuwa umepata fursa ya kihistoria ya kuiangamiza Palestina" na amesisitiza kuwa: "Sasa ni wakati wa kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tel Aviv.
-
Hizbullah yashambulia maeneo ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 16, 2024 22:57Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya makombora katika maeneo kadhaa ya kistratijia ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wapalestina wengine 18 wauawa shahidi Gaza
Nov 16, 2024 11:31Wapalestina wengine 18 wameuawa shahidi katika jinai mpya iliyotekelezwa na jeshi la utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Qatar yaonya kuhusu kupigwa marufuku UNRWA
Nov 16, 2024 09:55Serikali ya Qatar imeonya kuhusiana na hatua ya kupigwa marukufu shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) na kusisitiza udharura wa kuheshimiwa haki za Wapalestina.
-
HAMAS yaendelea kuangamiza wanajeshi wa Israel kaskazini mwa Ghaza
Nov 16, 2024 03:58Brigedi za Izzuddin Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa zimeangamiza maafisa wengine watatu wa jeshi la utawala wa Kizayuni na zana zao za kijeshi kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Hizbulla yaendelea kutoa vipigo dhidi ya Wazayuni
Nov 16, 2024 03:55Kitengo cha habari za kivita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu imeendelea kutoa vipigo na kuyatwanga kwa makombora na droni maeneo mbalimbali ya kijeshi ya Israel.
-
Palestina yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni kuhusu kitongoji cha al-Bastan
Nov 16, 2024 03:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetahadharisha kuhuusu uharibifu huo kamili wa kitongoji cha al-Bastan cha Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala pandikizi wa Israel na hasa baada ya Wapalestina 1,500 kulazimishwa kuyahama makaazi yao.
-
Kiongozi mmoja wa HAMAS auawa katika jela za Israel
Nov 15, 2024 23:25Mmmoja wa viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS, Samih Aliwi, aliuawa shahidi jana Ijumaa, Novemba 15, 2024 ikiwa ni siku sita baada ya kuhamishwa kutoka gereza la Ramla na kupelekwa katika hospitali ya Assaf Harofeh. Taarifa nyingine zinasema aliuawa shahidi tangu siku sita nyuma lakini utawala wa Kizayuni ulikuwa unaficha kifo chake.
-
Haaretz: Zaidi ya Wazayuni 10,000 wameshakimbilia Canada mwaka huu kutokea Israel
Nov 15, 2024 23:24Idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaokimbilia Canada imeongezeka kwa kasi kutokana na vipigo inavyopata Israel kutoka kwa wanamapambano wa Lebanon na Palestina.