-
Juhudi za Marekani za kuhalalisha jinai za Israel na kuendelea kuitumia silaha za mauaji ya umati
Nov 15, 2024 23:20Vedant Patel, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, ametoa matamshi ambayo yanaonyesha kuwa Marekani haiko tayari kwa vyo vyote vile kumuwajibisha mshirika wake wa jinai za kivita, yaani utawala haramu wa Israel, na kuwa inatosheka tu kwa kutoa madai matupu yasiyo na maana kuhusiana na suala zima la haki za binadamu.
-
Njama mpya ya Israel ya unyakuzi wa ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Nov 15, 2024 05:52Bezalel Smotrich, Waziri wa Fedha wa utawala wa Kizayuni ametoa matamshi kuhusiana na ushindi wa Donald Trump katika uchaguzi wa rais wa Marekani na kusema kuwa, mwaka 2025 utakuwa mwaka wa utawala huo ghasibu kunyakua na kupanua udhibiti wake katika ardhi ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
UNRWA: Kizazi kizima cha Wapalestina kitanyimwa haki ya elimu Gaza
Nov 15, 2024 04:14Philippe Lazzarini, Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), ameonya kuwa, kizazi kizima cha Wapalestina huko Gaza "kitanyimwa haki ya elimu" ikiwa asasi hiyo katika Ukanda huo itafutwa chini ya sheria mpya ya Israel.
-
Borrell ataka Umoja wa Ulaya kusisitiza mazungumzo ya kisiasa na Israel
Nov 15, 2024 00:25Josep Borrell Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amependekeza kuwa, umoja huo unapaswa kusitisha mazungumzo yake ya kisiasa na Israel kutokana na utawala huo kuendelea kufanya mauaji na jinai huko Gaza na Lebanon.
-
Human Rights Watch: Vitendo vya Israel Gaza ni jinai dhidi ya binadamu
Nov 14, 2024 08:20Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, amri ya kuhama ilioyotolewa na Israel katika eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza imefanywa kkwamadhumuni ya kuwatesa, kulazimishwa Wapalestina kuwa wakimbizi na kusambaa raia wa Palestina.
-
HAMAS: Andamaneni na zidini kuzizingira balozi za utawala wa Kizayuni na wanaouunga mkono
Nov 14, 2024 03:44Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito wa kuzidishwa harakati za umma katika ngazi ya kimataifa katika kulaani mwendelezo wa jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza na kuliunga mkono taifa la Muqawama la Palestina.
-
Sheikh Naim Qassem: Wapiganaji wa Hizbullah ni fakhari inayotetemesha mihimili ya Uzayuni
Nov 14, 2024 03:35Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
-
Jinai mpya za Israel: Zaidi ya Wapalestina 2,000 wauawa kwa umati katika siku 38
Nov 13, 2024 23:14Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Ukanda wa Ghaza imetangaza kuwa, wanajeshi makatili wa Israel wameua shahidi zaidi ya raia 2,000 kaskazini mwa ukanda huo baada ya utawala huo ghasibu kuanzisha kampeni ya kuangamiza kabisa kila kitu cha eneo hilo tangu siku 38 zilizopita.
-
Hizbullah yaendelea kutoa vipigo, sasa imepiga wizara ya vita ya Israel
Nov 13, 2024 23:14Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon jana Jumatano uliitwanga kwa mara ya kwanza wizara ya vita ya utawala wa Kizayuni mjini Tel Aviv kwa kutumia ndege zisizo na rubani, likiwa ni shambulio la aina yake na la mara ya kwanza tangu vilipoanza vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Muqawama wa Lebanon na Palestina.
-
Msimamo mmoja wa nchi za Kiislamu na Kiarabu katika kulaani jinai za Israel dhidi ya Gaza
Nov 13, 2024 23:09Kikao cha dharura cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwa ajili ya kuunga mkono kadhia ya Palestina kilifanyika siku ya Jumatatu mjini Riyadh Saudi Arabia, ambapo msimamo wa pamoja unaolaani jinai za kinyama za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina Lebanon ulipitishwa katika taarifa ya mwisho ya kikao hicho.