-
Al Alam: Ndege 15 za kijeshi za Israel zilishindwa kuzuia droni moja ya Hizbullah
Nov 04, 2024 03:00Televisheni ya al Alam imelinukuu gazeti moja la Kizayuni na kuandika kuwa, ndege 15 za kijeshi za Israel zilishirikiana kuiwinda ndege moja tu isiyo na rubani ya Hizbullah ya Lebanon na hazikuweza kuitungua. Tukio lililotokea wakati walowezi wote wa Kizayuni wakiwa wamejichimbia kwenye mashimo kwa kuigopa droni hiyo ya Hizbullah.
-
Jeshi la Yemen: Tutaendelea kupiga meli zote zenye uhusiano na Israel
Nov 04, 2024 02:59Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa, jeshi hilo litaendelea kuzipiga meli zote zenye uhusiano na Israel katika maji ya karibu na Yemen, bila ya kujali bendera na wamiliki wa vyombo hivyo vya baharini.
-
Jeshi la Israel lashindwa kikamilifu kudhibiti mji wa al Khiam wa Lebanon
Nov 04, 2024 02:58Duru za kuaminika za Lebanon zimetangaza kuwa, wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wamekimbia kikamilifu katika mji wa al Khiam wa kusini mwa Lebanon kutokana na vipigo vikali walivyopata mtawalia kutoka kwa harakati ya Hizbullah.
-
Askari wa Uingereza katika jeshi la Israel: Wapiganaji wa Hizbullah ndio bora zaidi
Nov 03, 2024 23:47Gazeti la The Times limefichua kuwa Waingereza wanapigana pamoja na jeshi la Israel katika vita vya utawala huo dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon.
-
HAMAS na Fat'h wakutana Cairo na kufikia makubaliano mazuri kuhusu Ghaza
Nov 03, 2024 22:55Vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza jana Jumapili kwamba, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na ile ya Fat'h zimekutana mjini Cairo Misri na kufikia maamuzi mazuri kuhusu Ghaza baada ya vita.
-
WHO: Hali ya watoto katika Ukanda wa Gaza ni mbaya
Nov 03, 2024 09:20Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza kufuatia kuendelea mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maelfu ya Wazayuni waandamana tena dhidi ya Netanyahu
Nov 03, 2024 08:13Maelfu ya walowezi wa Kizayuni wameandamana dhidi ya Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Ripoti: Israel imevurumishiwa makombora 26,000 tokea Oktoba 7
Nov 03, 2024 03:14Makombora zaidi ya 26,000 yamevurumishwa kuelekea katika maeneo ya Wapalestina yanayokaliwa kwa mabavu (Israel), tokea utawala huo wa Kizayuni uanzishe vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba mwaka jana.
-
Al-Nujaba: Tutapiga kambi za US, ikiisaidia Israel kuishambulia Iraq
Nov 03, 2024 02:47Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq amesema, kundi hilo la Muqawama litalenga kambi na vituo vya kijeshi vya Marekani endapo Washington itatoa msaada wowote katika mashambulizi yanayoweza kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iraq.
-
Hadaa ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika mpango wa kusitisha vita
Nov 02, 2024 23:06Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) wamesisitiza kuwa sababu kuu ya kuendelea vita Ukanda wa Gaza na kutofikia natija juhudi za usitishaji vita ni hadaa na ukwamishaji unaofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.