-
Mazungumzo ya kikanda kwa ajili ya kufunga kambi za majeshi ya Marekani Asia Magharibi, kisa? Mashambulizi ya Iran
Mar 11, 2026 04:57Duru za kuaminika zimeiambia Rusia Today kwamba nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zimeanza mazungumzo ya kujadili suala la kufunga kwa muda kambi za majeshi ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?
Mar 09, 2026 09:02Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Makundi ya Muqawama yapongeza kuchaguliwa Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu
Mar 09, 2026 07:49Harakati za Muqawama zimetoa taarifa zikilipongeza taifa la Iran kwa mnasaba wa kuchaguliwa Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei kama Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
China yaionya Israel: Kuendelea vita dhidi ya Iran kutachochea zaidi mgogoro wa Asia Magharibi
Mar 07, 2026 09:36China imeonya kwamba kuendelea kwa vita dhidi ya Iran kunaweza kuzidisha zaidi mgogoro unaoendelea katika eneo la Asia Magharibi.
-
Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka
Mar 07, 2026 05:59Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa ili kuibua fitna katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon
Mar 06, 2026 04:40Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imewataka walowezi wa vitongoji haramu katika mpaka wa pamoja wa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel kuondoka katika eneo hilo mara moja.
-
Maafisa 4 wa ngazi za juu wa CIA waangamizwa kwa mashambulizi ya Iran huko Saudia
Mar 05, 2026 15:00Ripoti zinasema kuwa maafisa wanne wa ngazi za juu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na askari 8 wa nchi hiyo wameuawa katika shambulizi la jeshi la Iran lililolenga kituo cha shirika hilo nchini Saudi Arabia.
-
Mashambulizi ya Hizbullah yalipa jeshi la kizayuni mashinikizo ambayo halijawahi kushuhudia
Mar 05, 2026 04:28Vyombo vya habari vya utawala wa kizayuni vimekiri kuwa jeshi la utawala huo ghasibu liko kwenye mashinikizo ambayo halijawahi kushuhudia kutokana na mashambulio ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwenye medani ya kaskazini ya vita ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Sheikh Abdulqawi wa Misri asisitiza kufuata njia ya Shahidi Ayatullah Khamenei, atoa Fatwa ya kuunga mkono Iran
Mar 04, 2026 05:54Mwanazuoni mmoja wa Misri amempongeza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na kusisitiza kwamba njia yake lazima iendelezwe na Umma ya Waislamu.
-
Siku ya Tano ya Vita; Wimbi la 17 la Operesheni ya “Ahadi ya Kweli 4”
Mar 04, 2026 03:19Vikosi vya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinaendeleza operesheni za ‘Ahadi ya Kweli 4’ ikiwa ni katika kujibu uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ulioanzishwa Jumamosi.