-
Majibu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mauaji ya "Fuad Shukr"
Aug 26, 2024 07:06Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetekeleza kwa mafanikio hatua ya kwanza ya kulipiza kisasi cha mauaji yaliyofanywa na Israel dhidi ya Fuad Shukr, aliyekuwa mmoja wa makamanda wakuu wa harakati hiyo, licha ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kujitayarisha kwa muda mrefu kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi hayp.
-
Nasrullah: Operesheni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni ni "Operesheni ya Siku ya Arubaini"
Aug 26, 2024 00:07Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameipa operesheni kubwa iliyotekelezwa na harakati hiyo siku ya Jumapili dhidi ya utawala wa Kizayuni jina la "Operesheni ya Siku ya Arubaini" na kueleza kwamba, ilifanyika kwa mafanikio.
-
Namna utawala wa Kizayuni unavyozidi kupelekwa mchakamchaka kwenye medani ya vita ya mpaka wa kaskazini
Aug 25, 2024 22:58Kadiri vita vya Ghaza vinavyochukua muda mrefu zaidi, ndivyo utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unavyozidi kupata hasara katika mpaka wa kaskazini, za maafa ya watu na ya kiuchumi.
-
Waislamu wa Afrika Mashariki na Kati wanavyoshiki kwenye Arubaini ya Imam Husain AS nchini Iraq
Aug 25, 2024 08:58Waislamu wa Afrika Mashariki ya Kati wameonunga na maashiki wengine wa Imam Hussein AS kutoka kona zote za dunia kuwahudumia mazuwari na washiriki wa Arubaini ya Imam Husain AS huko Karbala.
-
Hizbullah yaanzisha mashambulizi makubwa ndani ya Israel, yalenga shabaha muhimu
Aug 25, 2024 08:37Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeanzisha mashambulizi ya anga yanayoshirikisha idadi kubwa ya ndege zisizo na rubani (drone) kuelekea eneo la ndani la Israel.
-
Mamilioni ya Waislamu wanashiriki kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as) Karbala
Aug 25, 2024 04:20Mamilioni ya Waislamu kutoka nchi mbalimbali duniani wanakusanyika kwenye mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ili kuadhimisha kumbukumbu ya Arubaini, inayoashiria siku ya 40 baada ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) Imam Hussein (as), katika ardhi ya Karbala hapo mwaka 61 Hijria.
-
Sheikh Zakzaky: Utawala wa Kizayuni uko kwenye ncha ya kuporomoka
Aug 25, 2024 03:52Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaelekea kudidimia kutokana na operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa.
-
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa mahakama ya ICC ataka kutolewa hati ya kukamatwa Netanyahu na Waziri wa Vita wa Israel
Aug 24, 2024 23:12Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ametoa wito wa kutolewa hati cha kukamatwa Waziri Mkuu na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kutenda jinai za kivita.
-
75% ya Waisrael wanaamini Netanyahu ameshindwa kukabiliana na Hizbullah
Aug 24, 2024 07:38Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na taasisi ya habari ya Mako ndani ya jamii ya Wazayuni yanaonyesha kuwa asilimia 75 ya Waisraeli hawaridhishwi na namna serikali ya waziri mkuu wa utawala huo Benjamin Netanyahu inavyoshughulikia hali ya usalama kwenye mpaka wa kaskazini, ambako kila siku kunaandamwa na mashambulio makali ya Harakati ya Muqawama wa Kiisilamu ya Hizbullah ya Lebanon tangu Israel ilipoanzisha vita dhidi ya Ukanda wa Ghaza Oktoba 7, 2023.
-
Aliyekuwa mateka wa HAMAS 'avisuta' vyombo vya habari vya Israel: Sikupigwa wala kukatwa nywele Ghaza
Aug 24, 2024 06:08Noa Argamani, mwanamke wa Kiisraeli aliyeachiliwa hivi karibuni baada ya kushikiliwa mateka katika Ukanda wa Ghaza tangu Oktoba 7, 2023 amekadhibisha taarifa za upotoshaji zilizotolewa na vyombo vya habari vya Israel na kusisitiza kuwa hakupigwa wala hakukatwa nywele alipokuwa anashikiliwa na Wanamuqawama wa Palestina.