-
Walimwengu waandamana wakilaani mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Jun 12, 2024 03:52Maandamano ya kupinga na kulaani mauaji ya kimbari ya utawala ghasibu wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza yanaendelea kufanyika katika nchi tofauti za dunia.
-
HAMAS na Jihadul-Islami zakabidhi rasmi majibu yao kwa mpango wa kusimamisha vita Ghaza
Jun 12, 2024 00:08Harakati kuu za Muqawama na ukombozi wa Palestina za HAMAS na Jihadul-Islami zimetoa jibu rasmi kwa pendekezo linaloungwa mkono na Marekani la kusitisha mapigano Ghaza na kubadilishana mateka kwa wafungwa kwa kuongeza baadhi ya "maoni" kuhusu mpango huo. Hayo yamethibitishwa na wapatanishi wa Qatar na Misri.
-
Msimamo wa Makundi ya Mapambano ya Palestina Kuhusu Azimio la UN
Jun 11, 2024 23:24Makundi ya mapambano ya Palestina yametoa mjibizo kwa hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kupitisha azimio lililopendekezwa na Marekani kuhusu matukio ya Ghaza kwa kusisitiza kuwa: azimio hilo linahitaji hakikisho la utekelezaji.
-
Waislamu milioni mbili wamefika Makka, mataifa ya Kiislamu yatangaza Siku za Idul-Adhha
Jun 11, 2024 23:01Zaidi ya Waislamu milioni 2 wamewasili Saudi Arabia kutekeleza ibada ya Hija mjini Makka mwaka huu huku nchi za Kiislamu pia zikitangaza tarehe ambazo zitaadhimisha siku kuu ya Idul Adha katika mwaka wa 1445 Hijria Qamari (2024 Miladia).
-
Hizbullah: Israel itapata 'mshangao mkubwa' ikianzisha vita dhidi ya Lebanon
Jun 11, 2024 08:44Afisa wa ngazi za juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah nchini Lebanon amesema harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kwa hali yoyote inayoweza kutokea, na kusisitiza kwamba Israel itapata mshangao mkubwa zaidi ya huko nyuma iwapo itaamua kuanzisha vita vipya dhidi ya Lebanon.
-
Sababu na mijibizo ya kujiuzulu wajumbe wawili wa ngazi za juu katika baraza la mawaziri la kivita la Israel
Jun 11, 2024 04:03Benny Gantz na Gadi Eisenkot, wajumbe wawili wa ngazi za juu wa baraza la mawaziri la vita la utawala wa Kizayuni wametangaza rasmi kujitoa kwenye baraza hilo. Hili Tropper ambaye ni mtu wa karibu na Gantz, naye ametangaza rasmi kujitoa kwenye muungano unaounda serikali ya Netanyahu.
-
HAMAS yatoa pigo jingine angamizi dhidi ya wanajeshi wa Israel
Jun 11, 2024 03:55Brigedi za Shahid Izzuddin al Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetoa pigo jingine kubwa kwa wanajeshi vamizi wa Israel katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
HAMAS yalipokea vizuri azimio la Baraza la Usalama la UN la kusimamisha vita Ghaza
Jun 10, 2024 23:37Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepokea vizuri kupitishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa azimio ambalo limeunga mkono mpango unaolenga kuleta usitishaji mapigano katika vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.
-
Jinai ya Nuseirat na kuendelea kukashifika kimaadili Marekani na Wazayuni
Jun 10, 2024 23:02Jinai iliyofanywa na Marekani na Wazayuni kwenye kambi ya wakimbizi Wapalestina ya Nuseirat katika Ukanda wa Ghaza inadhihirisha zaidi, kuliko jambo jengine lolote, kuendelea kukashifika na kuaibika kimaadili Washington na Tel Aviv.
-
Mufti wa Oman awataka Waislamu kujitokeza kwa wingi kuwasaidia ndugu zao wa Ghaza
Jun 10, 2024 07:38Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili amewataka Waislamu kote ulimwenguni kutumia sehemu ya fedha zao kuwapelekea msaada wa chakula na silaha Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza