-
Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zashambulia tena magharibi mwa Yemen
Jun 18, 2024 04:46Ndege za kivita za Marekani na Uingereza kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo ya magharibi mwa Yemen.
-
Kamanda mwingine wa Hizbullah auawa shahidi na droni ya Wazayuni Lebanon
Jun 18, 2024 04:36Harakati ya Hizbullah ya Lebanon inatazamiwa kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya ngome za walowezi wa Kizayuni, baada ya kamanda mwingine mwandamizi wa kundi hilo la muqawama kuuawa shahidi kusini mwa Lebanon.
-
Kusambaratika kwa Baraza la Mawaziri la Vita la Kizayuni
Jun 18, 2024 03:39Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amevunja Baraza la Mawaziri la Vita la utawala huo.
-
Israel yashambulia tena Nuseirat, Wapalestina 17 wauawa shahidi
Jun 18, 2024 03:36Kwa mara nyingine tena, askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya mashambulio ya kikatili kwenye kambi ya wakimbizi ya Nuseirat na kuua shahidi na kujeruhi makumi ya Wapalestina.
-
Umoja wa Mataifa: Vita vimeigeuza Gaza kuwa Jahanamu ya duniani
Jun 17, 2024 23:13Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vita vimeligeuza eneo la Ukanda wa Gaza kuwa Jahanamu ya duniani.
-
Baraza la mawaziri la vita la Israel lasambaratika
Jun 17, 2024 07:20Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala huo amelivunja baraza la mawaziri la vita la Israel.
-
Haniya: Dalili za mgawanyiko zinaonekana wazi ndani ya utawala wa Kizayuni
Jun 17, 2024 03:19Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema ishara zote zinaonesha kuwa kuna mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel, huku vita dhidi ya Wapalestina wasio na hatia vikiendelea katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti: ICC kutoa waranti wa kukamatwa Netanyahu karibuni
Jun 17, 2024 03:03Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), katika kipindi cha siku 10 zijazo huenda ikafikia uamuzi wa kutolewa waranti wa kumtia nguvuni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa tuhuma za kuhusika na jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Jeshi la Yemen: Meli mbili zinazozama ni zawadi yetu ya Idi kwa muqawama wa Palestina
Jun 16, 2024 23:49Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa, meli mbili zinazozama ni zawadi ya Eid al-Adh'haa ya jeshi la Yemen kwa muqawama wa Palestina kutokana na kusimama kwao kidete.
-
Kundi la Taliban kushiriki mkutano wa Doha Qatar
Jun 16, 2024 23:46Serikali inayoongozwa na kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imetangaza rasmi nia yake ya kutuma wajumbe katika mkutano wa Doha Qatar utakaozungumzia hali ya taifa hilo.