-
Harakati ya BDS yalaani undumakuwili wa Human Rights Watch
Feb 09, 2026 06:39Kamati ya Kitaifa ya Palestina ya harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina BDS imelikosoa vikali shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa kutoa ripoti za upendeleo zinazoakisi haki za Wapalestina, ikiwa ni pamoja na haki ya kurejea katika ardhi za mababu zao, na kudogosha ukiukwaji wa haki za Wapalestina wa Gaza unaofanywa na utawala wa Kizayuni.
-
Hamas yalaani mradi wa kifashisti na kikoloni wa Israel unaolenga kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Feb 08, 2026 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali maamuzi mtawalia yaliyopasishwa na baraza la usalama la Israel jana Jumapili. Hamas imeyataja maamuzii hayo kuwa ni sehemu ya mradi wa kifashishti, wa kikoloni na wa kilowezi wenye lengo la kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi na kuliunganisha na ardhi nyingine zilizoghusubiwa za Palestina.
-
UNICEF: Israel imeuwa watoto 37 wa Kipalestina katika mashambulizi Gaza mwaka huu
Feb 08, 2026 05:42Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeeleza kuwa watoto wa Kipalestinan wasiopungua 37wameuawa katika mashambuliiz ya Israel huko Gaza tangu kuanza mwaka huu wa 2026.
-
Maelfu ya Wairaqi wajiandikisha kuingia vitani kuisaidia Iran endapo itashambuliwa na Marekani
Feb 08, 2026 02:46Maelfu ya Wairaqi wamesaini hati ya ahadi ya kusaidia kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo itashambuliwa kijeshi na Marekani.
-
Akademia ya Geneva: Waliofariki Ghaza wanakaribia 200,000, watu wamepungua kwa 10%
Feb 07, 2026 22:56Stuart Casey Maslen, mkuu wa Akademia ya Geneva ya Sheria za Kimataifa za Kibinadamu na Haki za Binadamu amesema, tangu Oktoba 2023 hadi sasa, idadi ya watu huko Ghaza imepungua kwa zaidi ya 10%, hali inayoashiria kutokea vifo takribani laki mbili.
-
Hali yazidi kuwa mbaya Gaza: Uhaba wa dawa na vifaa vya matibabu washadidi
Feb 07, 2026 08:39Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza katika taarifa yake kwamba, hospitali zilizobaki zinazofanya kazi katika Ukanda huo, ambazo zinajitahidi kuendelea kutoa huduma za kimatibabu, zimekuwa vituo vya kusubiri maelfu ya wagonjwa na majeruhi ambao wanakabiliwa na hatima isiyojulikana.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 08:25Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Zaidi ya wagonjwa 11,000 wa saratani Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na kifo
Feb 06, 2026 23:15Mkurugenzi wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Al-Dameer amekosoa vikali utaratibu wa sasa wa kivuko cha Rafah, akikiita "tasa na hatari" na kuonya kwamba utaratibu wa sasa umesababisha ongezeko lisilotarajiwa la idadi ya vifo miongoni mwa wagonjwa wa saratani katika Ukanda wa Gaza.
-
Olmert akiri: Maangamizi ya kizazi cha Wapalestina yanafanyika Ukingo wa Magharibi
Feb 06, 2026 06:40Waziri Mkuu wa zamani wa utawala wa kizayuni wa Israel Ehud Olmert amekiri kwamba polisi, jeshi na Shirika la Usalama wa Ndani la utawala huo (Shabak) wanahusika katika mashambulizi yaliyopangwa na walowezi dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi, akielezea vitendo hivyo kama njama ya kijinai na utumiaji nguvu ya uangamizaji wa kizazi cha Wapalestina.
-
Euro-Med Monitor: EU ni mshiriki wa mauaji ya kimbari Gaza
Feb 06, 2026 02:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Euro-Mediteranean Human Rights Monitor (Euro-Med Monitor) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limekosoa vikali msimamo wa Umoja wa Ulaya kwa kuweka masharti yasiyotekelezeka kwa ajili ya ujenzi mpya wa Gaza.