-
Hamas yalaani mashambulizi ya Israel Ukanda wa Gaza; Netanyahu amekusudia kukwamisha mapatano
Feb 05, 2026 23:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani mashambulizi makubwa ya anga ya Israel katika Ukanda wa Gaza yaliyouwa shahidi Wapalestina 23 tangu ustishaji vita wa Oktoba mwaka jana na ksuema kuwa hujuma hiyo ya utawala wa Kizayuni inathibitisha kuwa namna Israel inavyoendeleza kampeni yake ya mauaji ya kimbari.
-
Human Rights Watch: Israel inafanya mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza
Feb 05, 2026 08:09Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Israel unafanya mauaji ya halaiki katika Ukanda wa Gaza, Palestina.
-
Guardiola apaza sauti tena kuhusu mauaji ya kimbari ya Ghaza na dhulma inayotawala duniani
Feb 05, 2026 02:35Kocha wa timu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola, amesema mauaji ya watu wasio na hatia duniani kote yanamuathiri sana na amewahimiza walimwengu wasinyamazie kimya dhulma zinazofanywa.
-
Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea
Feb 04, 2026 23:02Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran litasababisha kuwashwa moto wa vita vya eneo. Sasa swali linaibuka: vita vya eneo ni nini na vinafanyika vipi?
-
Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina, yaua 20 Gaza
Feb 04, 2026 06:53Mashambulizi mapya ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel yamewaua shahidi watu wasiopungua 20, wakiwemo watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
Ni kwa sababu gani utawala wa kizayuni unakwamisha utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishaji vita Ghaza?
Feb 03, 2026 22:55Maelezo yaliyotolewa na maafisa wa Palestina na wa Umoja wa Mataifa yanaonyesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unakataa kutekeleza awamu ya pili ya makubaliano ya kusitisha mapigano huko Ghaza.
-
Hamas yatoa wito wa kuchukuliwa hatua za kimataifa za kuvunja mzingiro wa Gaza, kukomeshwa mashambulizi ya Israel, kuhamishwa watu kwa mabavu
Feb 03, 2026 06:27Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ) imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kushiriki katika maandamano ya hasira na shughuli za mashinikizo dhidi ya mashambulizi na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na Israel dhidi ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Ripoti: Israel inashikilia miili 766 ya Wapalestina tangu Oktoba 2023
Feb 03, 2026 04:26Mamlaka za Israel zinashikilia miili ya Wapalestina 766 waliokwishatambuliwa, huku karibu nusu ya miili hiyo ikishikiliwa tangu Oktoba 2023, wakati Israel ilipoanzisha vita vya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza ulio chini ya mzingiro.
-
Utafiti: Idadi ya watu Gaza imepungua kwa 254,000 kutokana na vita
Feb 02, 2026 22:59Utafiti wa kuaminika uliochapishwa na gazeti la Uingereza la The Guardian umehitimisha kwamba idadi ya watu wa Ukanda wa Gaza imepungua kwa takriban watu 254,000, au 10.6%, ikilinganishwa na makadirio ya kabla ya kuanza kwa vita vya mauaji ya kimbari ya Israel, Oktoba 7, 2023.
-
Kundi la kwanza la Wapalestina wanaorejea kutoka Misri lapitia kivuko cha Rafah
Feb 02, 2026 10:24Kundi la kwanza la Wapalestina limeanza kurejea katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha mpaka cha Rafah kati ya eneo hilo la pwani na Misri, baada ya kivuko hicho kufunguliwa tena kwa ajili ya harakati za watu.