-
Ukosoaji wa Qatar dhidi ya Israel; Rekodi mpya ya waandishi wa habari waliouawa Gaza
Feb 23, 2024 00:01Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Qatar, Lolwah Al-Khater, ameeleza masikitiko yake kwamba: Israel imeweka rekodi ya kushambulia na kuua waandishi wa habari.
-
Iran yaitaka ICJ isitishe ukaliaji wa mabavu wa ardhi za Palestina
Feb 23, 2024 00:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya sheria na kimataifa ameitaka Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) iulazimisha utawala wa Kizayuni uhitimishe sera yake ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
HAMAS: Kimbunga cha al-Aqsa kimevuruga njama za US katika eneo
Feb 23, 2024 00:00Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa iliyofanywa na makundi ya muqawama ya Ukanda wa Gaza ilisitisha njama za Marekani za eti kulifinyanga eneo la Asia Magharibi na mustakabali wake.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia bandari ya Israel, meli ya mizigo ya Uingereza, na meli ya kivita ya Marekani
Feb 22, 2024 23:59Vikosi vya jeshi la Yemen vimetangaza kutekeleza operesheni tatu za kijeshi ambapo ya kwanza imelenga bandari ya Eilat inayokaliwa na Israel ya pili meli ya mizigo ya Uingereza katika Ghuba ya Aden na ya tatu meli ya kivita ya Marekani katika Bahari Nyekundu kwa kutumia makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani.
-
Hizbullah ya Lebanon yazitwanga kwa makombora kambi nne za Wazayuni
Feb 22, 2024 08:02Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon umetangaza kuwa, wanamapambano wa Hizbullah wameshambulia kwa makombora kundi la wanajeshi vamizi wa Israel katika kambi kadhaa tofauti za kijeshi za utawala wa Kizayuni.
-
"Hali ngumu" ya utawala wa Kizayuni katika vita na Hizbullah ya Lebanon
Feb 22, 2024 06:42Vyanzo vya habari vya Kiebrania vimeonya juu ya hali ngumu itakayoikabili Israeli ikiwa itaanzisha vita dhidi ya Lebanon na uwezekano wa kuangamia maelfu ya Waisraeli, kufuatia vitisho vya mara kwa mara vya maafisa wa Israeli dhidi ya Lebanon na Hizbullah.
-
Hamas yalaani muswada wa Knesset unaopinga kuasisiwa nchi huru ya Palestina
Feb 22, 2024 03:52Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) jana ililaani muswada wa bunge la Israel (Knesset) wa kutoitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Wanamuqawama washambulia kwa droni kambi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria
Feb 22, 2024 03:36Wanamuqawama wameishambulia kambi ya kijeshi na vikosi vamizi vya Marekani huko mashariki mwa Syria kwa kutumia ndege isiyo na rubani (droni).
-
Gazeti la Kizayuni: Wanajeshi wa Israel ni wezi wakubwa
Feb 21, 2024 23:10Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limelazimika kukiri kuwa wanajeshi wa Israel ni waporaji na wezi wakubwa kutokana na kukithiri ujambazi na wizi wa majumbani wa wanajeshi hao katika maeneo mbalimbali ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghazza.
-
China yalaani veto ya Marekani kupinga kusitishwa kwa vita mara moja Gaza
Feb 21, 2024 04:08China imelaani vikali hatua ya Marekani ya kupinga rasimu ya azimio iliyowasilishwa na Algeria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, la kutaka kusitishwa mara moja mapigano katika Ukanda wa Gaza.