-
Vikosi vya Yemen vyashambulia tena manowari ya US kwa makombora
Feb 01, 2024 07:36Msemaji wa Jeshi la Yemen amesema vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vimefanya shambulio jipya la makombora dhidi ya meli ya kivita ya Marekani katika pwani ya Bahari Nyekundu.
-
Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza
Feb 01, 2024 03:44Jeshi la utawala wa Kizayuni ambalo ni maarufu kwa kuchuja mno habari limesema katika taarifa yake ya jana kwamba, hadi hivi sasa wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza, tarehe 7 Oktoba, 2023.
-
UNRWA, wenzo wa Israel na nchi za Magharibi kuzidisha mauaji ya kimbari huko Gaza
Jan 31, 2024 23:31Baada ya takriban miezi minne ya mashambulizi yasiyo na tija ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza kwa lengo la kuangamiza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, na kushindwa kuvunja azma na irada ya wakazi wa eneo hilo, Wazayuni wakishirikiana na baadhi ya waitifaki wao wa Magharibi, sasa wanalenga kusambaratisha Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA.
-
HAMAS: Jeshi la Israel linaendelea kufanya jinai kwenye hospitali za Gaza
Jan 31, 2024 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika hospitali na vituo vya matibabu huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Gazeti la US: Wanajeshi wa US walioko Iraq wamewekwa tayari kwenda kuisaidia Israel katika vita vya Gaza
Jan 31, 2024 09:42Gazeti la mtandaoni la The Intercept limeripoti kuwa, wanajeshi wa Marekani walioko nchini Iraq wamewekwa tayari ili itakapohitajika wakatoe msukumo na msaada katika mashambulio ya vita vya nchi kavu vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza uliozingirwa.
-
Kupanuka mpasuko ndani ya serikali ya Israel; Netanyahu kwenye ncha ya wembe
Jan 31, 2024 08:42Moja ya sababu za kushindwa Israel kufikia malengo yaliyokusudiwa katika vita vya Gaza ni kupanuka hitilafu katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Yemen yaapa itakufanya kuhodhiwa Bahari Nyekundu na Marekani kuwe na 'mwisho mchungu'
Jan 31, 2024 03:18Waziri wa Ulinzi wa Yemen ameshutumu majaribio ya Marekani na Uingereza ya kulizatiti kijeshi eneo la Bahari Nyekundu kwa ajili ya kuunga mkono vita vya mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza uliozingirwa akisisitiza kwamba majeshi ya Yemen yataufanya uwe na "mwisho mchungu" udhibiti wa Marekani katika njia hiyo ya kimkakati ya majini.
-
HAMAS: 'Tunapitia' pendekezo jipya la kusimamisha vita Gaza
Jan 31, 2024 00:01Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kundi hilo la muqawama 'linadurusu' na kutathmini pendekezo jipya la usitishaji vita lakini amesisitiza kuwa, kipaumbele chake kwa sasa ni kuhitimisha uvamizi na kuondoka kikamilifu vikosi vamizi vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Maiti 100 za Wapalestina lilizoziiba jeshi la Israel zazikwa tena katika kaburi la pamoja Gaza
Jan 30, 2024 23:13Miili isiyopungua 100 ya Wapalestina imezikwa katika kaburi la pamoja katika mji wa kusini wa Rafah, baada ya askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuiiba katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
-
Imran Khan na msaidizi wake wahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa kuvujisha siri za Serikali ya Pakistan
Jan 30, 2024 23:10Mahakama ya Pakistan imemhukumu waziri mkuu wa zamani Imran Khan na msaidizi wake wa karibu, waziri wa zamani wa mambo ya mje Shah Mahmood Qureshi, kifungo cha miaka 10 jela katika kesi inayohusiana na uvujaji wa siri za serikali.