-
Walowezi wa Kizayuni wasiopungua 48,000 walivamia Msikiti wa Al-Aqsa mwaka 2023
Jan 02, 2024 23:17Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
-
Kushtadi mvutano kati ya Netanyahu na Biden kuhusu Gaza
Jan 02, 2024 23:16Gazeti la Marekani la New York Times limetangaza katika ripoti iliyowanukuu maafisa wa Marekani na Wazayuni kwamba, mazungumzo ya hivi karibuni kati ya Rais Joe Biden wa Marekani na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel yalitawaliwa na malumbano na kurushiana maneno.
-
HAMAS: Muqawama utaipa Israel funzo lisilosahaulika kwa ukatili inaowafanyia Wapalestina
Jan 02, 2024 10:50Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kifo cha mateka mwengine wa Kipalestina aliyeuliwa kwenye kituo cha mahabusu cha utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kuahidi kuupa utawala huo funzo lisilosahaulika kutokana na ukatili wake unaoendelea kuwafanyia Wapalestina.
-
Yemen: Marekani na Uingereza zitalipa gharama kubwa kwa kushambulia jeshi letu la wanamaji
Jan 02, 2024 08:07Maafisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen wametoa mjibizo kwa shambulio la kijeshi la Marekani na kutangaza kwamba nchi hiyo na Uingereza zitalipa gharama kubwa kwa shambulio hilo la kijeshi zilizofanya dhidi ya Jeshi la Wanamaji la Yemen.
-
Vita vya Gaza vyazuia wanafunzi elfu 600 wa Kipalestina kupata elimu
Jan 02, 2024 04:05Mamlaka ya Palestina imetangaza kwamba kuendelea mapigano huko Gaza, kutazuia zaidi ya wanafunzi 600,000 wa Kipalestina kupata elimu.
-
Hasara waliyopata Wazayuni katika siku nne zilizopita
Jan 02, 2024 03:54Abu Ubeidah, Msemaji wa Brigedi ya al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas alitangaza Jumatatu usiku kwamba wapiganaji wa kundi hilo wameharibu magari 71 ya kijeshi ya Israel na kuwaangamiza wanajeshi wake 16 katika muda wa siku nne zilizopita.
-
Jihadul Islami: Pendekezo la Israel limefichua lengo la vita dhidi ya Gaza
Jan 02, 2024 03:33Harakati ya Jihadul Islami ya Palestina imelaani vikali mpango wa Israel wa kutaka kuwahamisha kwa nguvu mamilioni ya wakazi wa Ukanda wa Gaza na kuwapeleka katika nchi nyingine na kusisitiza kuwa, pendekezo hilo limeweka bayana kuwa utawala huo haramu unaendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo la pwani lililozingirwa.
-
Baada ya HAMAS kuitwanga tena kwa makombora Tel Aviv; Wazayuni wasema: tumechanganyikiwa
Jan 01, 2024 23:19Zawadi ya mwaka mpya wa 2024 ya HAMAS kwa utawala wa Kizayuni ilikuwa ni kuutwanga tena kwa makombora mji mkuu wa Israel, Tel Aviv, katika dakika za awali kabisa za kuanza mwaka mpya. Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kuchanganyikiwa na kusema kuwa, HAMAS imeshinda vita.
-
Vituo vya matibabu ya akili vyataka kutangazwa hali ya hatari Israel
Jan 01, 2024 23:19Gazeti moja la utawala wa Kizayuni limefichua kuwa, tangu ilipoanza operesheni ya #Kimbunga_cha_al-Aqsa hadi hivi sasa, zaidi ya wakazi laki tatu wa utawala wa Kizayuni wameingia kwenye orodha ya watu wenye matatizo ya akili na saikolojia huko Israel.
-
Waandamanaji Uturuki: Marekani ndiye shetani halisi
Jan 01, 2024 08:25Kwa mara nyingine tena, wananchi wa Uturuki wamekusanyika nje ya Ubalozi Mdogo wa Marekani mjini Istanbul katika maandamano ya kuonyesha himaya na uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza wanaoendelea kukabiliwa na hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala haramu wa Israel.