-
HAMAS yaendelea kupinga usimamishaji vita wa muda, yataka Israel ikomeshe vita kwanza
Dec 20, 2023 07:44Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAHMAS imepinga pendekezo la kusimamishwa vita kwa muda huko Ghaza na imeendelea kusisitizia msimamo wake wa kukomeshwa kwanza jinai za Israel, kabla ya kufanyika mazungumzo yoyote yale.
-
Hatua isiyo na mzaha ya Yemen katika Bahari Nyekundu na kuchanganyikiwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 20, 2023 04:47Kufuatia kuendelea vita vya kila upande vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Gaza ambavyo vimesababisha mauaji ya kimbari, Wayemen wamekuwa wakilenga meli yoyote katika Bahari Nyekundu inayoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Ansarullah: Lengo la muungano wa majini wa Marekani ni kuishajiisha Israel kuendeleza mauaji huko Gaza
Dec 20, 2023 02:51Ofisi ya Kisiasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa: Lengo la kuanzishwa muungano wa baharini wa Marekani ni kuuhimiza utawala wa Kizayuni wa Israel kuendeleza jinai zake za kinyama dhidi ya watu wa Palestina huko Gaza.
-
Shughuli katika bandari ya Israel ya Eilat zapungua kwa 80%
Dec 19, 2023 23:34Gazeti la Kizayuni la Calcalist limeripoti kuwa, shughuli za upakiaji na upakuaji wa mizigo katika bandari ya Eilat ya utawala wa Kizayuni wa Israel zimepungua kwa asilimia 80.
-
Jihadul-Islami: Waziri wa Ulinzi wa Marekani ametilia mkazo uungaji mkono wa nchi yake kwa mauaji ya Wapalestina
Dec 19, 2023 09:05Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, maneno aliyosema Waziri wa Ulinzi wa Marekani huko Tel Aviv ni msisitizo wa kuunga mkono mauaji ya wananchi wa Palestina.
-
Radiamali ya Afghanistan kwa hatua ya Baraza la Usalama ya kujadidisha vikwazo dhidi ya Taliban
Dec 19, 2023 05:24Zabihullah Mujahid, msemaji wa serikali ya Taliban ya Afghanistan, amekosoa kurefushwa muda wa vikwazo vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya Taliban kwa mwaka mmoja mwingine.
-
Hamas: Mauaji ya watoto wachanga ni uzoefu pekee uliohamishiwa Israel kutoka Marekani
Dec 19, 2023 04:10Mwanachama Mkuu wa Harakati ya Hamas amesema kuwa uzoefu pekee ambao Marekani imeukabidhi kwa utawala katili wa Israel ni namna ya kuua wanawake na watoto.
-
Ansarullah: Tutakabiliana na muungano wowote wa majini wa Marekani
Dec 19, 2023 03:56Mwakilishi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha kuwa harakati hiyo itakabiliana na muungano wowote utakaoundwa na Marekani katika Bahari Nyekundu.
-
Hasara kubwa za Wazayuni katika vita vya Al-Shujaiyya
Dec 19, 2023 01:37Wazayuni wanajitahidi kuingia katika eneo la Al-Shuja'iyya huko Gaza, huku kukiwa hakuna dalili za kufanikiwa kwao katika eneo hilo.
-
Mashambulio ya anga ya Israel yaua Wapalestina 100 Jabalia
Dec 18, 2023 06:49Wapalestina zaidi ya 100 wameuawa shahidi katika mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyolenga kambi ya wakimbizi ya Jabalia katika Ukanda wa Gaza.