-
Mchezo ulioshindwa mara kadhaa wa Israeli na Marekani katika vita vya Gaza
Dec 18, 2023 08:46Kulipuliwa nyumba, shule za umoja wa Mataifa, vituo vya matibabu na kuuliwa kinyama makumi ya maelfu ya Wapalestina pamoja na kujeruhiwa maelfu ya wengine katika Ukanda wa Gaza, na mapambano makali kati ya wapiganaji wa Kipalestina na askari vamizi huko Khan Yunis, ni moja ya habari muhimu zinazohusiana na Palestina inayokaliwa kwa mabavu Wazayuni.
-
Duru za Yemen: Meli mbili zimeshambuliwa wakati zinaelekea bandari za utawala wa Kizayuni
Dec 18, 2023 08:21Duru moja ya habari ya Yemen imeripoti kuwa limetokea shambulio la kombora lililolenga meli mbili zilizokuwa zikielekea bandari za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
HRW yaikosoa vikali Israel kwa kutumia njaa na unyimaji chakula kama 'silaha ya vita'
Dec 18, 2023 07:56Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unatumia unyimaji chakula kama "silaha ya vita" huko Gaza kwa kukata makusudi upatikanaji wa maji na chakula kwa watu wa eneo hilo, kitendo ambacho ni uhalifu wa kivita.
-
Wazayuni waomba mazungumzo, muqawama washurutisha kukomeshwa vita kwanza
Dec 18, 2023 03:42Mkuu wa shirika la kijasusi la Israel MOSSAD amesema kuwa, viongozi wa kisiasa wa utawala wa Kizayuni wamempa idhini ya kufanya mazungumzo kuhusu kusimamishwa vita kwa muda na kwa ajili ya kubadilishana mateka, lakini viongozi wa HAMAS wamesema kuwa, hawakubali kufanya mazungumzo yoyote mpaka kwanza vita visimamishwe kikamilifu.
-
Hamas: Hakuna mazungumzo ya kubadilishana mateka kabla ya Israel kusimamisha vita
Dec 18, 2023 03:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, haitajihusisha na majadiliano yoyote kuhusu kubadilishana wafungwa kwa mateka kabla ya utawala ghasibu wa Israel kusimamisha kabisa mashambulizi yake katika Ukanda wa Gaza.
-
Wapiganaji wa Hizbullah washambulia maeneo ya kijeshi ya Israel kuunga mkono Gaza
Dec 18, 2023 03:03Wapiganaji wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Hizbullah ya Lebanon wameendeleza mashambulizi yao dhidi ya ngome za kijeshi la utawala haramu Israel karibu na mpaka wa nchi hiyo na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel), kujibu vita vya utawala huo haramu wa Israel dhidi Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel mhusika mkuu wa kuenea vita kutoka Gaza hadi Ukingo wa Magharibi na maeneo mengine
Dec 18, 2023 00:53Katika saa za kwanza za asubuhi ya siku ya 71 ya "Kimbunga cha Al-Aqsa", ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zilishambulia kikatili kwa mabomu maeneo ya makazi ya raia mashariki mwa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza. Maeneo ya Katikati na kaskazini-magharibi mwa Khan Yunis pia yalilengwa kwa makombora ya wavamizi hao.
-
Israel yaua mwanadiplomasia wa Ufaransa Ukanda wa Gaza, Paris yataka maelezo
Dec 17, 2023 06:51Shirika la Habari la Ujerumani limeinukuu Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa ikisema kuwa mwanadiplomasia wa nchi hiyo amefariki dunia kutokana na majeraha aliyoyapata wakati wa mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
UNICEF yaonya kuhusu hali mbaya ya Gaza kwa watoto
Dec 17, 2023 04:27Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza, Ukanda huo umekuwa sehemu hatari zaidi duniani kwa watoto.
-
Israel yazingirwa majini na nchi tajiri zaidi ya Kiarabu kwa mtazamo wa ujasiri na heshima
Dec 17, 2023 04:26'Sasa kwa vile chakula na dawa vimezuiwa kuingia Gaza, tutazuia meli kuingia na kutoka Tel Aviv.' Hayo ni matamshi yalitolewa na Brigedia Jenerali Yahya Saree, Msemaji rasmi wa Jeshi la Yemen, na hii ina maana kwamba Yemen italenga meli zote zinazoelekea Tel Aviv bila kubagua ni meli ya nchi gani.