-
Idadi ya mashahidi Gaza yakaribia watu 20,000
Dec 17, 2023 04:18Wizara ya Afya ya Palestina imetangaza ongezeko la idadi ya mashahidi na majeruhi katika mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kigaidi wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Afrika Kusini yatoa mwito wa kushtakiwa Israel kwa kutekeleza mauaji ya kimbari
Dec 17, 2023 04:17Wizara ya Sheria ya Afrika Kusini imetaka kuchunguzwa na kuhukumiwa Israel katika mahakama za kimataifa jinai kufuatia mauaji ya kimbari ya watu wa Gaza yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni.
-
Masoko ya Israel yakumbwa na mgogoro mkubwa kutokana na mashambulio ya Yemen
Dec 16, 2023 23:18Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimekiri kwamba, majibu yanayotolewa na wanamapambano wa Yemen dhidi ya utawala wa Kizayuni ikiwemo hatua ya jeshi la Yemen ya kuzuia meli za Israel zisivuuke Bahari Nyekundu yamesababisha mgogoro mkubwa katika masoko ya utawala wa Kizayuni.
-
Amiri wa Kuwait afariki akiwa na miaka 86; kakake wa kambo amrithi
Dec 16, 2023 09:56Amiri wa Kuwait Sheikh Nawaf al-Ahmad al-Jaber al-Sabah amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 86.
-
Wanajeshi 20 wa jeshi la kigaidi la Israel waangamizwa al-Shujaiya Gaza
Dec 16, 2023 08:42Jeshl la kigaidi la Israel limekiri kuwa, wanajeshi wake 20 wameuawa katika kipindi cha wiki moja iliyopita katika mapigano kati yao na vikosi vya muqawama wa Palestina katika eneo la al-Shujaiya katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwakilishi wa Palestina UN ataka kushtakiwa Netanyahu katika mahakama ya ICC
Dec 16, 2023 08:41Balozi na mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amevitaja vitendo vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni jinai ya kivita dhidi ya binadamu na mauaji ya halaiki na kueleza kuwa, Benjamin Netanyahu anapaswa kushtakiwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ya The Hague.
-
Israel yaendelea kuwazuia Wapalestina kuswali swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa
Dec 16, 2023 02:44Maelfu ya Wapalestina hawakuweza kuhudhuria swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) kwa wiki ya kumi mfululizo kutokana na vizingiti vilivyowekwa na utawala dhalimu wa Israel tangu kuanza kwa vita dhidi ya Gaza mnamo Oktoba 7.
-
Brigedi za Al-Qassam : Takwimu za majeruhi za adui si za kweli
Dec 16, 2023 02:10Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amebainisha kuwa, vikosi vya adui vinakaribia kusambaratika na kuongeza kwamba, takwimu ambazo adui amezitangaza rasmi kuhusu vifo na majeruhi wake si za kweli.
-
Muqawama waendelea kupambana kiume na Wazayuni makatili
Dec 15, 2023 23:23Wanamapambano wa Brigedi za Izuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la HAMAS na makundi mengine ya muqawama wa Palestina yanaendelea na mapambano yao makali na kutoa vipigo kwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni waliovamia Ukanda wa Ghaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje waTaliban asisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na Iran
Dec 15, 2023 23:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ya Afghanistan amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kudumisha na kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.