-
Muqawama waendelea kupambana kiume na Wazayuni makatili
Dec 15, 2023 23:23Wanamapambano wa Brigedi za Izuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la HAMAS na makundi mengine ya muqawama wa Palestina yanaendelea na mapambano yao makali na kutoa vipigo kwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni waliovamia Ukanda wa Ghaza.
-
Waziri wa Mambo ya Nje waTaliban asisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano na Iran
Dec 15, 2023 23:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ya Afghanistan amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kudumisha na kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kambi ya jeshi ya Ain al-Asad ya US huko Iraq yashambuliwa kwa droni
Dec 15, 2023 07:53Kwa mara nyingine tena, wanamuqawama wa Kiislamu wa Iraq wamewashambulia kwa ndege isiyo na rubani (droni) wanajeshi wa vikosi vamizi vya Marekani katika kambi ya Ain al Asad huko Iraq.
-
UN: Nusu ya wakazi wa Gaza katika hatari ya kufa njaa
Dec 15, 2023 07:08Afisa wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa, asilimia 50 ya wakazi wa eneo la Palestina la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu wapo hatari ya kupoteza maisha kutokana na makali ya njaa.
-
Wayemen wafanya maandamano kulaani jinai za Wazayuni Gaza
Dec 15, 2023 06:47Wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamefanya maandamano makubwa ya kulaani jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza, na vile vile kuonyesha mshikamano wao na taifa la Palestina.
-
Kiongozi wa HAMAS aiambia US: Badala ya mustakabali wa Gaza fikirieni mustakabali wa Israel
Dec 15, 2023 04:16Osama Hamdan, Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Beirut ameihutubu Marekani ya kwamba, "msifuatilie utakavyokuwa mustakabali wa Gaza baada ya vita, bali fikirieni mustakabali wa Israel".
-
Kufutwa Hamas; lengo lisiloweza kufikiwa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza
Dec 15, 2023 04:13Huu ni mwezi wa tatu tangu utawala ghasibu wa Israel uanzishe vita vya kikatili dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza lakini pamoja na hayo umeshindwa kabisa kufikia malengo ya kijeshi uliyoyatangaza rasmi kabla ya kuanzisha vita hivyo likiwemo la kuangamiza Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina, Hamas.
-
Jeshi la Yemen lashambulia meli nyengine ya mizigo inayoelekea bandari za utawala wa Kizayuni
Dec 15, 2023 03:51Jeshi la Yemen limetangaza kuwa vikosi vyake vimeishambulia kwa kutumia ndege isiyo na rubani meli nyingine ya mizigo iliyokuwa ikielekea kwenye bandari za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita
Dec 15, 2023 00:21Abu Obeidah, Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, tawi la kijeshi la Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa Mujahidina wa brigedi hizo wamewaangamiza askari 36 wa utawala wa Kizayuni katika medani tofauti za mapigano katika Ukanda wa Gaza ndani ya muda wa saa 72 zilizopita.
-
Wafanyakazi wa utawala wa Biden waandamana kupinga vita Gaza
Dec 14, 2023 07:50Wafanyakazi wa utawala wa Rais Biden wa Marekani wameandamana mbele ya Ikulu ya White House, wakitoa wito wa kusitishwa vita vya maangamizi ya umati vya utawala wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza.